El ndiye rais ajaye? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

El ndiye rais ajaye?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Karata, Jun 25, 2011.

 1. K

  Karata JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Katika pitapita zangu katika kucheck news papers asubuhi ya leo katika mtandao nikakutana na comment hii katika Mwananchi.
  Naomba kuwasilisha

  JAMANI JAMANI JAMANI!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!
  tuache ulimbukeni wa kisiasa! tukatae tukubali LOWASSA NDIYE ANAEFAA KUWA RAIS BAADA YA JK

  ANA SIFA ZIFUATAZO:-
  1- ana vision (anaona mbali)
  2- ana ujasiri na kujiamini
  3- ni mchapakazi
  4- mpenda maendeleo ya taifa letu
  5- hamuonei aibu mtu anaekwamisha maendeleo yetu
  6- anaamini penye niaa pana njia. tukijituwa tunaweza
  7- ana haiba ya uongozi


  MAMBO ALIOYAFANYA AKIWA KIONGOZI
  1- alivuja mkataba wa kinyonyaji wa DAWASCO

  2- Alijenga shule za kata nchi nzima ktk kipindi cha miezi sita tu (huu ni muujiza haijawahi tokea). kwanza majengo. walimu na vifaa baadaye.

  3- aliwajibisha watendaji serikalini bila kuwaonea aibu. MIFANO:- a) aliwabana idara ya ujenzi ya temeke na kuwafukuza ilipo dondoka hotel ya chan'gombe. b) aliagiza ghorofa zote za dsm zitathminiwe upya. zisizo faa zivunjwe. c) aliwajibisha ma DC 3 na RC mmoja kwaa kushindwa kusimamia mkukuta. d) alimbana yusuf makamba na wahandisi waeleze kwa nn brbbr ya shekilango haimaliziki

  4- alianzisha sera ya uwazi na uwajibikaji. alikua anakwenda na waandishi wa habari ktk ukaguzi kwa ghfla. akikuta kasoro anmuumbua mhusika hadharani. hali hii ilifanya watendaji wajitume wakiogopa kuumbuliwa.

  5- alijitahidi kuwabana mawaziri kwenda mikoani kufuatilia miradi ya wizara zao badala ya kukaa dsm wakisubiri maofisini.
  angekua PM hadi leo TZ ingekua mbali sana tana sana kimaendeleo. naapa kwa jina la MUNGU. tungekua mbali kimaendeleo.

  HAKUNA KAMA LOWASSA!!!!!!!! !!!!!!!!!!


  SUALA LA RICHMOND
  jambo hili limekaa kisiasa sana. samwel sitta alikua campaign manager wa kikwete akishirikiana na akina lowassa. sitta aliahidiwa uwaziri mkuu. jk badala yake akampa lowassa u PM na sitta akawa apika. jambo hili lilimsononesha sn sitta. lilipotokea suala la richmond, sitta aliunda kamati ya kulishughulikia kwa lengo la kumshughulikia lowassa. lowassa hakupewa fursa ya kuhojiwa lkn bunge likamsulubu.

  AWE ANA MAKOSA KUHUSIAANA NA RICHMOND AU HANA BADO ANAFAA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII


  TUANGALIE MIFANO IFUATAYO:-
  mwl nyerere ktk kutekeleza sera ya ujamaa alilazimisha watu waishi ktk vijiji vya ujamaa. watu hawakupendezwa na jambo hili. ilifikia hatua watu wakapigwa hadi kuuawa wakilazimishwa kuishi vijijini. mwl nyerere alikiri hili kosa na akaomba radhi. kosa hili haliwezi kutufanya tuseme mwl hafai. binadamu huteleza. sisi siyo malaika. hata slaa anaishi na mke wa watu licha ya kuwa padri. zitto hadi leo hii hajaoa na anataka urais wa TZ. MBOWE hadi leo kashindwa kueleza mali zake kutokana na njia za kiharamu anazozitumia kujilimbikizia mali. anafuja mali za chadema na amejaza wachagga watupu makao makuu.


  JAMANI JAMANI JAMANI!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!
  kama tunaitakia mema nchi hii, basi LOWASSA ndie anaetufaa.
   
Loading...