EL kamwaga mboga, JK kamwaga ugali

EL kamwaga mboga, JK kamwaga ugali

Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi isiyokuwa na chogi tena. JK anatengenezewa immunity(kama rais wa Yemen):crutch:,then EL kishwa habari yake,anabaki kuwa prezidaa wa ving'ora tu( kama hata uprezidaa akiupata in case tunapata tume huru,mwema,mwamunyange,CAG, mwamyika .et al wanapitishwa na bunge).

EL umemwaga ugali,uendapo kwenye masinagogi kutoa misaada,omba tu JK asimwage ugali.

Sijaelewa kitu!!!
 
Mimi najiandaa 2015 pachimbike tu, bora liwe naliwalo haibiwi mtu kura safari hii. EL abaki huko huko CCM na usenator wake hadi kifo huko Monduli siyo kuifukuzia magogoni. 2015 For Dr. Slaa (Tanzanian Cobra).
 
Back
Top Bottom