Ekari 20 zinauzwa kwa bei nafuuu

Ekari 20 zinauzwa kwa bei nafuuu

tejateja

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,626
Reaction score
979
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa Ekari 20. Lina mazao Ekari nne nanasi na passion. Eneo lingine huwa nalima muhogo. Muhogo unastawi sana. Shamba lipo BUNGU, KIBITI, pwani. Kuna banda la mfanyakazi na mabanda ya mifugo kama kuku mbuzi au bata. Bei ni 15,000,000. Solar panel ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom