Ejaculation During Exercise

hahahahah ur gay , ume ona jamaa ana muscle pembeni, ukawa turned on..umesema mwenywe kwenye gym hakuna mademu... kik
 
hahahahah ur gay , ume ona jamaa ana muscle pembeni, ukawa turned on..umesema mwenywe kwenye gym hakuna mademu... kik

Mtoto wa Kishua!
Umeuwa babu, sina feeling hizo kabisa na njemba nyenzangu! lol, this is too illogical to make sense, its something to do with muscles mazee, unapozistress physically muscles sasa inapotokea relaxation hiyo hupelekea kupiga bao bila kujijua.
 
Ngoja nikutabirie,

Wewe umezaliwa April watu waliozaliwa kipindi cha baridi huwa wanapatwa na ugonjwa mbadala wa ngiri baridi yaani unapatwa na hamu kali kila mara.

Pia inaonyesha wewe ni mwanaume mwaminifu ndio maana unafatwa na majini kwa vile na yenyewe huwa yana wivu na yanaogopa ukimwi kama ukoma.

TABIBU/USHAURI

Unashauriwa kuoa haraka na usioe mwanamke mwembamba unaweza kupata murder case kwa vile mnatumia nguvu nyingi na muda mrefu kwenye ili kupunguza hasira ya mzee wako. Ukitaka kuaini nayosema kila ukinyanyua uzito mkubwa unatoa hayo maji yanayosababisha mtoto(sperms)

Mkeo lazima apende manukato na aepuke kuvaa baibui ili kukuvutia muda wote.

Kumbe Majini yanauguaga UKIMWI??
 
Mkuu Masa... ilo ni jambo la kawaida kuna jamaa yangu alipata ajali ya kugonga mti kwa Gari... akamalizia hapo hapo...
 
Hii mie ilinitokea nafanya test ya physics form five baasi maswali yakanigonga sana na ilikuwa ndiyo test yangu ya kwanza ya physics A-level mara ghafla teacher akasema timeover looh nilijipizia hapohapo nikashangaa sana
 
Mambo ya stress hayo! Mwisho wasiku najua ulipata principal kwenye ACSEE
 
Back
Top Bottom