Ejaculation During Exercise | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ejaculation During Exercise

Discussion in 'JF Doctor' started by Masanilo, Feb 17, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hi guys can some one help! Have experienced twice now.....working out in the gym, bench press up, pullover, intensive ABS exercise I end up with spontaneous ejaculation....gym ninayoenda haina mademu na huwa siko sexually aroused kwenye mind. Huwa kama nimebeba mzigo mzito najikuta wet duuu....its a bit embarrassing.....

  Is it normal? can some one clarify........
   
 2. Kichwa

  Kichwa Senior Member

  #2
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fanya sala ya toba haraka,
  Pia jaribu kuwasiliana na Shek Yahaya yule dr. wa CCM haraka una jini Mahaba.
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  haaaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Man I am serious......ur shemeji hana complains....jini mahaba nimerule out...kwa imani yangu sitakiwi kwenda kwa Sheikh Mnajimu
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ....it is time for marriages stuff,lolz:D
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Pole sana.

  Nkwingwa Masa, unasema huwi uko aroused kwenye mind, je, visually vipi (iwapo na endapo kuona tu wenzako [au wewe mwenyewe] kwenye kioo ndani ya gym kuna trigger stimulation? Na kabla hata hujafikiria kuwa umeshafikiria kichwani - kengere inakuwa imeshalia...
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Well, man....Will think about it....I need to date for at least 10 years before committing for marriage...

  Hongera sana mkuu! umetutosa sisi senior bachelors
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkuu unajua ukiwa kwenye mazoezi serious hata ile kitu hujui kama imesimama! Nakuja shitukia nimelowa ute uumeni.....! Thank god nilikuwa na bukta nyeusi so washikaji wakajua ni jasho! LOL
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  I can tell hw serious you are now
   
 10. Kichwa

  Kichwa Senior Member

  #10
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ngoja nikutabirie,

  Wewe umezaliwa April watu waliozaliwa kipindi cha baridi huwa wanapatwa na ugonjwa mbadala wa ngiri baridi yaani unapatwa na hamu kali kila mara.

  Pia inaonyesha wewe ni mwanaume mwaminifu ndio maana unafatwa na majini kwa vile na yenyewe huwa yana wivu na yanaogopa ukimwi kama ukoma.

  TABIBU/USHAURI

  Unashauriwa kuoa haraka na usioe mwanamke mwembamba unaweza kupata murder case kwa vile mnatumia nguvu nyingi na muda mrefu kwenye ili kupunguza hasira ya mzee wako. Ukitaka kuaini nayosema kila ukinyanyua uzito mkubwa unatoa hayo maji yanayosababisha mtoto(sperms)

  Mkeo lazima apende manukato na aepuke kuvaa baibui ili kukuvutia muda wote.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...muda wangu ulishafika mkuu wangu.naikumbuka vizuri taimtebo yako ya JUNE!and it seems alarming sasa (hadi wazaramo wanatoka wenyewe bana..:D:D)
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tawile Mnajimu

  Nimezaliwa February, Off course siwezi date wale wembamba, I need more flesh than bones.....sasa baibui kwa wazenji ni kama uji na wagonjwa.....This thing is embarrassing unapiga bao bila kujijua aaaaaaaaaaagggggrrr hata raha husikii
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  June hapana mazee sitakiwi kuwa na haraka! Ngoja nijitunze tu....will PM you man
   
 14. Mesh2lover

  Mesh2lover Member

  #14
  Feb 17, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Guys you make me laugh.... but am not supposed to, like wise people should not bring jokes at this, as Masanilo has brought this as a very serious condition to him. Masanilo, I hope one of the members will provide you with answers. That is for sure could be medical, anatomical or psychological problem. BUT is not something alarming .... relux.
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ni-piemu sasa hivi!it looks like smthng is nt rght smwhr,lolz!...:D
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Having read a few places, apparently it is a natural thing to some men. Apart from the embarrassment that goes with it, there is no big clinical worries to bear. Hata hivyo, mimi nadhani kuna mishipa yako fulani hivi ambayo aidha imetanuka au kusinyaa kuliko ilivyokuwa awali kutokana na mazoezi au umri ambayo inasababisha hayo yote yatokee. Au pale unapojikunja au kujikunjua mazoezini, kuna some muscles zina gusa sehemu pasipotakiwa hivyo kukufanya ujiexpress fastafasta.
   
 17. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  haaa....haaa nasikia hata ukitaka kufa lazima upige bao!
   
 18. Kichwa

  Kichwa Senior Member

  #18
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkulu lets get serious now on this business,

  Endorphins are endogenous opioid polypeptide compounds. They are produced by the pituitary gland and the hypothalamus in vertebrates during strenuous exercise, excitement, and orgasm; (hapa nafikiri ndio chanzo cha tatizo lenyewe)and they resemble the opiates in their abilities to produce analgesia and a sense of well-being.
   
 19. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Just wondering if the following has got something to do with it:

  [​IMG]
   
 20. Kichwa

  Kichwa Senior Member

  #20
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mkuu sijui namna ya kukutumia ujumbe binafsi ila hii picha ni yangu hii sijui umeipataje au wewe ni ndg yangu?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...