Eid Mubarak wote

Eid Mubarak wote

Dkt. Gwajima D

Minister
Joined
Nov 28, 2015
Posts
1,706
Reaction score
8,657
Wasaalam rafiki yetu....

Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🄰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,

Tunawatakia Eid Mubarak.....

Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..

IMG-20250401-WA0050.jpg
 
Wasaalam rafiki yetu....

Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🄰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,

Tunawatakia Eid Mubarak.....

Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Mama umechelewa ungewahi jana mualiko ungepata na pilau ungekula!, sasahivi kuna makoko tu vipi unakulaga..?😁
 
Mama kwa jinsi tunavyokukubali tulitegemea ungetualika nyumbani kwako tujumuike pamoja kula sikukuu ya mtume wetu, huku tukitafakari mustakabali mzima wa jamii yetu na hawa kataa ndoa..!!

Kwahiyo mpo beach na baba? 😜
 
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Shukrani sana Dr , naomba kwenye list ya wasaidizi wako kama Yuko Binti anahitaji mume, niunganishie tafadhali. Nina Elimu ya Masters, andiko langu (thesis) ilikua kuhusu FINANCING SPECIAL EDUCATION IN PRIMARY SCHOOLS, A CASE STUDY OF........

Nina mke mmoja ila nahitaji wa pili, niliacha ajira ya Serikali, nafanya ujasiriamali, ni hayo Tu Mheshimiwa kwa sasa
 
Back
Top Bottom