Eid Mubarak wana chit chat woote!

sweetlo gfsonwin hapo wa kujilaumu ni wewe na fungate lile unaona hadi umekosa hizi news za hommie Mr Rocky kupatamo dume! LOL

Ila nywele bado kunyoa so nadhani tufunge safari kwenda kumwona mi nitabeba pampers
 
Last edited by a moderator:

Hivi unasahau kuwa unajitia aibu mwenyewe hapa,kwani we ulikua wapi usiwe na waifu wako mkale wote ugali kwa mlenda???!!!!
 
nilikuwa na mume wangu mie.....hubby Asprin

Last edited by a moderator:

Gadem!!! Hili yuziful sredi lilinipitaje? Hommie Kaizer naomba mwongozo wako tafazali.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unasahau kuwa unajitia aibu mwenyewe hapa,kwani we ulikua wapi usiwe na waifu wako mkale wote ugali kwa mlenda???!!!!

God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

nilikuwa na mume wangu mie.....hubby Asprin

'..............when your enemies makes mistakes don't interrupt them...................'
 
haaa sweet shem nilikumisije hebu come zis way jamani cacico....hata mi naona! Lol
naogopa kukuchum kama zamani!! Mkeo si karudi jamvini! Hebu nimpe heshima yake kwanza, ctaki kesi na mi-ban mie! nimekumiss mno tena Kaizer, lol
 
Last edited by a moderator:
hii nimeona kwenye gazeti nikaambiwa hawa ni wana chit chat .. sikufanikiwa kupata majina yao Asprin ukaguzi wako kwa wajukuu huwa ni hivi..?

naogopa kukuchum kama zamani!! Mkeo si karudi jamvini! Hebu nimpe heshima yake kwanza, ctaki kesi na mi-ban mie! nimekumiss mno tena Kaizer, lol

Shemeji basi nichumu nikiss mwaaah unaogopa nini jamani? Mke karudi sawa, my sweetlo gfsonwin naye yupo kwa sana, na wa siri wangu mwaJ. sasa tabu iko wapi shemeji yangu mpenzi? come zis way cacico! mwaaah
 
Last edited by a moderator:
umezidi kukagua! unakagua mpaka nyufa!? nyingine hazizibiki imekuwa mifereji! lolest!
cacico my shemeji mpenzi nisome katikati ya mistari au nimsubiri Yummy aje anitafsirie?
 
Last edited by a moderator:
sweetlo gfsonwin hapo wa kujilaumu ni wewe na fungate lile unaona hadi umekosa hizi news za hommie Mr Rocky kupatamo dume! LOL

Ila nywele bado kunyoa so nadhani tufunge safari kwenda kumwona mi nitabeba pampers

sawa ma swtlo yaani ngoja tujiandae ila wewe beba mbuzi dume bana ya supu ya mzazi miye ndo ntabeba pampers.
 
Shemeji basi nichumu nikiss mwaaah unaogopa nini jamani? Mke karudi sawa, my sweetlo gfsonwin naye yupo kwa sana, na wa siri wangu mwaJ. sasa tabu iko wapi shemeji yangu mpenzi? come zis way cacico! mwaaah
mwahhhh, mwahhhh , mwahhhhh! khaaaaaaaa umeidaka kwa wapi hiyo Kaizer??? lolest! ushemeji umenoga wallah!
 
Last edited by a moderator:
sawa ma swtlo yaani ngoja tujiandae ila wewe beba mbuzi dume bana ya supu ya mzazi miye ndo ntabeba pampers.

Orait sweetlo gfsonwin, nimchukue yule beberu kabisa tuliyemhasi tayari eeh? ngoja tumpe yala majani yake special this week ili utumbo uwe mtamu lol....nakupendea mabusara yako tu

Umenionea cacico?
 
Last edited by a moderator:
kabisa dear na la muhimu ni kumuombea Mungu sana amlinde na kukmkuza kwa katika maisha yake
Asante sana gfsonwin
na kama huyo ndo first born umeanza vzr sana sana. yaani utashangaa liliwa miaka 13 kama clein wangu kazi zote za kiume home anafanya kama tu ukimlea bila madeko. manake dume langu naliitaga comrade linajua kupanga vikosi kazi home kama mtu mzima vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…