Kaizer Minak Faidhina, ni kweli watu tusherekee lakini tusiputike mipaka ya Allah S.W.
Dunia inapita, lakini Akhera ni ya milele.
kumbe tunajibu minak faidhina??
Kesho sitapata tabu, naandika kwenye karatasi.
Min-al-faidhiina, ukiona kimya ujue sina, na nikikupa basi nimefikiria kwakina.