ndugu zangu watanzania leo ni siku kubwa na tukufu kwa waislamu wote duniani kwa kukamilisha ibada moja miongoni mwa nguzo kuu ktk uislamu yaani ibada ya hijja huko makka.hivyo nawapongeza na kuwapa mkono wa idi waislamu wote duniani hasa waislamu wa tz na wa tz wote kwa ujumla ktk sherehe hii tukufu!
Hongereni waislamu na idd mubarak!