Eheeee!OKWI KAMWAGA YANGA!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Atacheza mechi ya kesho dhidi ya jkt ruvu.
Anaishi kwenye moja ya hotel kubwa pale bagamoyo.
Yanga mnatisha aise!
 
Ushamba tu wa wana yanga, kwan haiwezekani kuifunga simba bila huyu mganda?
 
Yanga hawajipya; wanatamani Simba iwe kama Villa Squad: badala ya kufikilia mbinu za kuifunga Simba uwanjani ikiwa na wachezaji walewale wanakimbilia kuibomoa tu wakizani kuwa ndo dawa: kweli zile goli 5 ziliwalewesha.
 
Atacheza mechi ya kesho dhidi ya jkt ruvu
Sitashangaa akicheza mechi za kirafiki, ila nitashangaa akicheza mechi za mashindano! Kwani hiyo mechi dhidi ya JKT Ruvu ni ligi gani?
 
Kime wauma sana poleni ndo professional player nyie mlifikiri kazaliwa hapo.Bado na jengo tunalinunua masikini nyie na sasa hivi abromovich ndani ya nyumba(Manji)
 
Kime wauma sana poleni ndo professional player nyie mlifikiri kazaliwa hapo.Bado na jengo tunalinunua masikini nyie na sasa hivi abromovich ndani ya nyumba(Manji)

YEBO YEBO maneno mengi sana tatizo. hamna cha maana mnachofanya kelele tu
 
Sitashangaa akicheza mechi za kirafiki, ila nitashangaa akicheza mechi za mashindano! Kwani hiyo mechi dhidi ya JKT Ruvu ni ligi gani?

ni kama ndondo vile na matokeo ni vipi si sasa hivi wanacheza..
 
Njaa mpaka usoni

Yanga-SC.png
 
..Eti Manji ndani ya nyumba, si ndiyo huyu walipomtishia kumpokonya fweza za wizi akawa chizi- alionekana akiwa masaburi nje anakimbia pale gymkana !! Abromavich mai asi...!!
 
Yebo yebooooooo! Simba tuaenda kusajili wachezaji toka ktk mkoa wa mwenyekiti wa klabu, kule Tabora nimesikia kuna wasakata kambumbu balaaaa, si unaona kina Banka, Boban na Machaku, tunaenda kuweka kambi Nzega, Urambo, Nsogolo na Ussoke
 
Tatizo sio hela yanga ni hela ya yanga bana, maskini utabaki lialia tu,. Subiri mbeleko tena vp kombe la karafuu linaendeleaje
 
Okwi = 2Bil. Kama Ipo tutafanya Biashara.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hela ipo msijali ile ni hela ya watanzania lazma itumike kuwafurahisha watanzania, nyie kama fisadi letu mo anapeleka warabun shauri yenu
 
Tumien wachezaji wa simba kupata kura, uchaguzi ukiisha watarud simba kucheza soka
 
Back
Top Bottom