Eheee

Eheee

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
400630_824644607561108_782851532_n.jpg
 
usiombe uingiwe na mdudu mitaa iyo........
khaaa utavua nguo pasi kupenda
 
mimi nywele za huko kati zilishawahi kushikana nikiwa kanisani basi kila hatua nikipiga zilivutana, nilipata shida ile mbaya suluhisho nikawa sina movement yoyote.
 
Aisee nimecheka mpaka basi
 
mimi nywele za huko kati zilishawahi kushikana nikiwa kanisani basi kila hatua nikipiga zilivutana, nilipata shida ile mbaya suluhisho nikawa sina movement yoyote.

hahahahaaa mkuu acha kabisa asee.... usiombe vu.zi libanwe na zipu.. afu labda ndo uko kwenye mstari wa kwenda kutoa sadaka.... weeee lazima ujifanye unazimia waje kukuombea.
 
Utalipishwa kwa kumvunja mbavu ma mkwe
 
hahahahaaa mkuu acha kabisa asee.... usiombe vu.zi libanwe na zipu.. afu labda ndo uko kwenye mstari wa kwenda kutoa sadaka.... weeee lazima ujifanye unazimia waje kukuombea.
hahahaaaaaaaaaaaa,shida utakapoambiewa ufanyefanye mazoezi ya kutembea...
 
Msitu wa Udzungwa haufanyiwi marekebisho mwisho unaleta karaha :angry::angry::angry:
 
Back
Top Bottom