Egyptian amr moussa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Egyptian amr moussa

Discussion in 'International Forum' started by Mpevu, Feb 13, 2011.

 1. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nchini Misri bado haieleweki ni nani ambae anakubalika zaidi kwa kushika hatamu za nchi hiyo baada ya uchaguzi wa kidemokrasia.
  Miongoni mwa wanaotazamwa kwa upana na wananchi wa egypt ni AMR MOUSSA, kiongozi mkuu wa Arab League. Huyu amewahi kuitumikia nchi ya misri wakati wa utawala wa Mubarak miaka ya nyuma akiwa ni waziri wa mambo ya nje, ambapo baadae akatoka katika mipaka ya nchi yake na kuwa ni mtendaji mkuu wa umoja wa waarabu yaani (arab league) anayoitumikia mpaka sasa. kwa nini huyu anapendwa zaidi kuliko El Baradei?
  El Baradei anaonekana kuwa ni kama mtu wa nje, yaani ni foreigner. Walio wengi wa wamisri hawampatii nafasi El Baradei kwa khofu ya kutokujua mambo ya ndani ya nchi, na kwamba maisha yake yamekuwa ni Australia,
  Siasa za egypt zinampa credits zaidi Amr Moussa kuwa ni mrithi wa baadae wa Mubarak.
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  yeyote atakayechaguliwa kazi ni kwao wenyewe Wamisri.
  Cha mhimu hapa ni hilo tamko la Jeshi kuwa wataitisha uchaguzi ndani ya siku 60
  watabadirisha sheria zote kandamizi
  wataendelea kuheshimu International Treaties( ukiwemo wa Israel)
  etc
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amri mousa ndie anafaa kuwa rais wa misri huyo albaradei hafai ni kibaraka wa america na wa misri wanamjua hawawezi kumchagua asilani,wakimchagua ni sawa na kumrudisha hosni mubarak,ila hawawez kumpa uongoz wa juu wanamjua ni kibaraka wa america.
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nami nimepitia makala ndefu ya wamisri ambapo yadaiwa aliwasaliti kwa mengi El Baradei via marekani, hawamtaki japo yeye anataka kukalia kiti cha ikulu ya Misri.
   
Loading...