ShukranUmeandika ukweli.
Ni ngumu sana kwa mwanaume aliezoea kutoka na rafiki zake kwenda kwenye starehe,kuangalia Mpira,kucheza pool table eti atulie nyumbani π hapo lazima mgombane.
Na ni ngumu pia kwa Binti aliyezoea kutoka na Rafiki zake weekend, kufanya Shopping, kujipenda, kutembelea marafiki,kupenda pesa kumbadilisha na kutaka atulie nyumbani hapo lazima mgombane.
Tujitahidi kuchukuliana na kubebana na kupeana uhuru.
Mkishindwana mnafikia makubaliano.
Dawa ili iweje kwanini uache tungi? Nani kasema kunywa pombe ni ugonjwa mpaka dawa?Umemsahau mzee wa tungi pia ukizingatia hakuna dawa ya kuacha pombe
Yuko hapo kwenye wapenda starehe πUmemsahau mzee wa tungi pia ukizingatia hakuna dawa ya kuacha pombe
Oyaa naomba niiatach hii video kwenye thread aiseeππ nimejikuta mbavu sio zangu..Bepari la Kihaya
View attachment 3647744
Am sure sijasema kuvumilia ujinga,Ukweli mchungu mkuu lakini tambua kwamba hutakiwi kuingiza democracy kwenye ndoa utakayeumia ni wewe. Man was born to conquer woman.
Never bargain with a woman on things that matter. Never!Issue kubwa ya wamatumbi ndo hii, hawapendi kusoma wanakuja na mihemko tu... How pathetic?
For example, bargain for sex doesn't matter a lot because it's cheaply supplied elswhere. Bargaining with a woman for sex is encouraged but it doesn't matter.Why even bargain if you already know they don't matter?
Lengo la huu uzi ukiachana na kuweka boundaries zako.. Hasa nilipenda kuwa fanya watu wawe open minded na kukubali kuwa challengedMkuu,asante kwa kuniita na nimefika.Mimi kwa mtazamo wangu ni hivi,issue ya mahusiano ni serious maana ukaribu unaokuwa nao wewe na mwenzi wako ni wa karibu kuliko ukaribu unaokuwa nao na mtu mwingine yoyote. Inatakiwa boundaries ziwepo toka mwanzo na matarajio yajulikane kila mtu afahamu nini kinatakiwa nini hakitakiwi. Pia hata unapofanya uchaguzi wa huyo mwenzio wa kuwa nae kwenye mahusiano,angalia mtu ambaye unaona mtaendana kulingana na wewe ulivyo. Mfano, kuna wanaume hawapendi mwanamke anaevaa suruali,hao wanatakiwa mapema kabisa wawe na mahusiano na wanawake wavaa magauni na sketi. Sio baadae mtu anamwambia mwanamke wake "sitaki uvae suruali" ilihali kamkuta anavaa. Pia kuna wanawake hawapendi wanaume wanywa pombe, wawe na mahusiano na hao hao wanywa maji na juice,sio baadae mwanaume aanze kuambiwa aache kunywa pombe ilihali hayo ndo maisha yake.
Jitambue kabla ya mahusiano na uwe na mtu ambaye unaona mtaendana kabisaa, pia mipaka ijulikane mapema na mtu akifanya jambo kinyume na utaratibu wenu aambiwe sio kutunza hasira moyoni.
Bado haujanijibu swali mkuu.. Kwanini u bargain na wakati ukijua sio cha muhimu au sio mtu sahihi? Hapo ndo wengi hupakimbiaFor example, bargain for sex doesn't matter a lot because it's cheaply supplied elswhere. Bargaining with a woman for sex is encouraged but it doesn't matter.
Bargaining ipo mkuu lakini kuna mambo ambayo inabidi uweke msimamo huwezi kubargain. Mimi mfano niliweka msimamo, hakuna kuishi pamoja kabla ya ndoa, hiyo ilikuwa non negotiable from the beginning, asiyetaka aende. Ila kuna mengine tunalegeza msimamo maana huyo unayekuwa nae kwenye mahusiano ni binadamu mwingine hamuwezi kufanana kwa asilimia 100. Sometimes you just agree to disagree.Lengo la huu uzi ukiachana na kuweka boundaries zako.. Hasa nilipenda kuwa fanya watu wawe open minded na kukubali kuwa challenged
It is not about sticking to what you believe, but making room for adaptation. Wengi hawawezi kuwa fluid kimtazamo na hiyo inaweza kufanya uka miss out on life.
Nashukuru kwa mawazo yako mkuu
Hapo kwenye kuishi kabla ya ndoa ni strong boundary kweli maana inakuepusha na unnecessary stress pia kujikuta unafanya maamuzi bila kutulia..Bargaining ipo mkuu lakini kuna mambo ambayo inabidi uweke msimamo huwezi kubargain. Mimi mfano niliweka msimamo, hakuna kuishi pamoja kabla ya ndoa, hiyo ilikuwa non negotiable from the beginning, asiyetaka aende. Ila kuna mengine tunalegeza msimamo maana huyo unayekuwa nae kwenye mahusiano ni binadamu mwingine hamuwezi kufanana kwa asilimia 100. Sometimes you just agree to disagree.
UmejuajeAnacho maanisha ni addiction sio unywaji wa pombe