EGM vs CBG ipi ina fursa nyingi za ajira na ni zipi ??

Apr 8, 2019
17
3
Habarini tena wanajf nataka kuwahi advance private ety kati ya egm na cbg IPI inalipa kwenye suala la fursa za kuajiri
wa au kujiajiri
 
Mkuu
Habarini tena wanajf nataka kuwahi advance private ety kati ya egm na cbg IPI inalipa kwenye suala la fursa za kuajiri
wa au kujiajiri
[
Mkuu umekosea advanced level bado ni elimu ya msingi tofauti na chuo ambayo ni elimu ya professionalism ,ulitakowa uulize ukisoma combination ipi itakuwezesha chuo kusoma course yenye fursa nyingi,maana secondary hausomei kazi secondary ni sehemu ya kumalizia ujinga na sio sehemu ya kusomea kazi utakayofanyia nadhani umenielewa kijana wangu,pia si kuraumu mana kwa level uliyopo ni sahihi kuuliza swali la kisecondary
 
Habarini tena wanajf nataka kuwahi advance private ety kati ya egm na cbg IPI inalipa kwenye suala la fursa za kuajiri
wa au kujiajiri
Huwezi ukaajiriwa kwa kutumia kigezo cha egm au cbg.

Jibu ni kwamba hizo ni kombi na hazina fursa za kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom