Efraim Kibonde na mradi wa Lowassa

Efraim Kibonde na mradi wa Lowassa

yalaaaaa maweeee............,.......... ? mboe nae ana ziro? ya form ngapi? tuambie bana hatujui cc
 
MAKELELE NA MBWEMBWE ZA VYURA KATU HAZIJAWAHI KUMZUIA NG'OMBE KUNYWA MAJI, so nyie pigeni mayowe but at the end you shall clap your hands for PRESIDENT EDWARD N. LOWASSA.
 
jamani hebu tufikie wakati kuongea v2 vinavyoleta maana kwani huyu bwana lowasa si hajatangazwa rasmi nyinyi lomolomo yanini kwa sasa subiriii.
 
soma alama za nyakati. CDM kuna Phd ya Slaa. masters za ZZK. LISU. MNYIKA. Dada Wa Kawe Mdee. listi ni ndefu. hizo degree za kwanza ndio usipime. ccm mmekosa dira mpaka maji marefu mnamuona msomi kwa kuitwa prof.
Ama kweli humu kuna watu wanafiki sana, nyinyi si huwa mnasema hamsikilizi clouds na kuangalia tbc huyo kibonde mmemsikiaje?. mtakuja kuchomwa moto siku za mwisho na masiasa yenu oh! muogopeni Mungu muache unafiki hasa wewe unayesoma ujumbe huu na unaonekana kukuudhi unahusina.
 
Division zero form six ndio apewe ukuu wa wilaya. ndo maana nchi haitapiga hatua. Kibonde hana world outlook kabisa. yaani hata waziri mkuu wa Uganda hamjui
As a person, I think he's very down to earth and nice guy.
 
soma alama za nyakati. Cdm kuna phd ya slaa. Masters za zzk. Lisu. mnyika. Dada wa kawe mdee. Listi ni ndefu. Hizo degree za kwanza ndio usipime. Ccm mmekosa dira mpaka maji marefu mnamuona msomi kwa kuitwa prof.

acha mahaba ya kijinga wewe,nikianza na huyu wa nyekundu hata diplomahaijui,si ndo aina ya wabunge wenu hiyo?
 
Kibonde ni kiazi tu.. hivi kuna watu wanasikiliza jahazi kweli..
 
Back
Top Bottom