Efraim Kibonde na mradi wa Lowassa

Butundwe

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
303
0
Anadai keshaanza mchakamchaka na baadae ataeleza zaidi msikilize kwenye jahazi
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,542
2,000
Kaahidiwa ukuu wa wilaya kwa kuanzia then msemaji wa rais wa ndoto na safari yenye miiba, milima na watu vibonde!
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,321
0
Jamaa huwa anamishe na kiu ya kupewa "ukuu wa wilaya"ndo maana anashadadia sana!

Division zero form six ndio apewe ukuu wa wilaya. ndo maana nchi haitapiga hatua. Kibonde hana world outlook kabisa. yaani hata waziri mkuu wa Uganda hamjui
 
ikhwaan

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
221
0
Division zero form six ndio apewe ukuu wa wilaya. ndo maana nchi haitapiga hatua. Kibonde hana world outlook kabisa. yaani hata waziri mkuu wa Uganda hamjui

Si kama MBOWE TU?? na Divisheni ziro yake mbn anaongoza chadema???
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,321
0
Si kama MBOWE TU?? na Divisheni ziro yake mbn anaongoza chadema???

soma alama za nyakati. CDM kuna Phd ya Slaa. masters za ZZK. LISU. MNYIKA. Dada Wa Kawe Mdee. listi ni ndefu. hizo degree za kwanza ndio usipime. ccm mmekosa dira mpaka maji marefu mnamuona msomi kwa kuitwa prof.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom