Corrie de killer
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 240
- 736
Uchukukue tambo uludi Warld anatamba sanaSamsumg A17 ram 6 taweka high graphics kwel
We unaubalozi wa konamiMi huwa napiga pasi chache ila Konami wananiongezea tu sijui kwa nini π
Ahahaha tarudi kama mchezaji alie toka injuryHasa kwa akili zako unategemea msaada kwa huyo shetani mwenye mguu mmoja πππ
Urudi untrain kijana wako maana hali teteAhahaha tarudi kama mchezaji alie toka injury
Kijana wangu hana tofauti na man u ,mifumo ina mkataaππ Corrie de killerUrudi untrain kijana wako maana hali tete
Humu wengi ni watumiaji wa touch controls ila huyu master Selikavu huemda akawa na details vizuri.Wakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda
Huyu atundike darugaπππKijana wangu hana tofauti na man u ,mifumo ina mkataaππ Corrie de killer
Ufanye kutupa na username mkuuWakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda
Utoe darasa mkuu WarIdUfanye kutupa na username mkuu
Anataka akamnyooshe na pad yake πUtoe darasa mkuu WarId
π€£π€£π€£Siyo mwemaAnataka akamnyooshe na pad yake π
Kwanini hukumpa nafasi walau atingishe nyavu zako kidogo π
Uwe unalala mkuuππ au nikutumie code twende GGRπKwanini hukumpa nafasi walau atingishe nyavu zako kidogo π
Me ni Mghana, naanzaje kulala masaa haya πUwe unalala mkuuππ au nikutumie code twende GGRπ
Kakaππnipo hapa
Tangu lini??ππMe ni Mghana, naanzaje kulala masaa haya π
Mkuu unatumia Virtual pad au touch and flick ???π PiaWakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda