eFootball Special Thread

Mechi ya Gilberto unajiegesha mwenzako huwa nakaa adi na powder🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ Yan kungekuw na namn unarekod saut kwa voice note hapa ningesimulia.
Alininyanyasa mechi ya kwqnz!
 
Hivi unajua nlisahau kupaa ni vile huyu masta Kandambili1 aliniudhi ya ni mpira unatoka golin hadi golin nkasema hapana πŸ˜‚πŸ˜‚
Me mwenyewe nahisi nimesahau leo nimepiga link up imefika nikakosa cha kufanya🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…