eFootball Special Thread

Leo bana kulikuwa na baridi sanaa asbh. Mpaka screen nikawa naiona nzito, vidole vimeganda…nikachanganyanya na ile mitama uliyonizabua, ehee nikaamka nikaweke chai.. narudi haupoπŸ˜†
Sasa me nikaon uko kmy san hat hurud tuendelee. Afu natak nipush Division πŸ˜€ nikaon bora nisep huend hutak kugusa na mm
 
Hivi hii ligi ni lazima kucheza siku moja au siku yoyote, na kwenye kuingia unaingilia wapi au ni kucreate room kawaida halafu baada ya mechi mnashare matokeo, nipo zerpo to zero kwenye hili wakubwa
 
Hivi hii ligi ni lazima kucheza siku moja au siku yoyote, na kwenye kuingia unaingilia wapi au ni kucreate room kawaida halafu baada ya mechi mnashare matokeo, nipo zerpo to zero kwenye hili wakubwa
Hii ni leo na Kesho kama mechi zote zikiisha natoa fixture nyingine deadline itakua kesho kutwa saa 0000

Game kawaida mara nyingi tunaprefer mpeane username ili ukampe invite ...

Game ikiisha unascreenshot mnalud mnamalizia hiyo moja na yenyewe unachukua tokeo then unaleta hapa unanitag mimi au Gilberto_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…