Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 25, 2026 #14,521 Tayana-wog said: Imagine Halafu akipigwa chini analalamika🤣🤣 Click to expand... Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺 Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilika😃😃
Tayana-wog said: Imagine Halafu akipigwa chini analalamika🤣🤣 Click to expand... Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺 Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilika😃😃
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 29,423 Reaction score 39,471 May 25, 2026 #14,522 Selikavu said: Kama nilivyosema mama mtumishi kwenye maombi yako usimuache Kijana kuna roho zinamsumbua😃😃 Click to expand... Ila selikavu🤣🤣🤣🙌
Selikavu said: Kama nilivyosema mama mtumishi kwenye maombi yako usimuache Kijana kuna roho zinamsumbua😃😃 Click to expand... Ila selikavu🤣🤣🤣🙌
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 29,423 Reaction score 39,471 May 25, 2026 #14,523 Selikavu said: Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺 Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilika😃😃 Click to expand... Kwamba niendelee kuomba atabadirika🤣🤣🤣🤣
Selikavu said: Usifanye hivyo ukimpiga chini me nitaumia zaid yake🥺 Endelea nae hivyo hvyo ameanza kubadilika😃😃 Click to expand... Kwamba niendelee kuomba atabadirika🤣🤣🤣🤣
lestone JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 613 Reaction score 1,284 May 25, 2026 #14,524 Corrie de killer said: Na atakufunga huwezi amini Click to expand... 😅 me mwema kak?
lestone JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 613 Reaction score 1,284 May 25, 2026 #14,525 Selikavu said: Utaanza na mimi😃😃 Click to expand... 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini
Selikavu said: Utaanza na mimi😃😃 Click to expand... 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,896 Reaction score 4,685 May 25, 2026 #14,526 Selikavu said: Fene Anza na hizi kwanza mkuu Click to expand... Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick
Selikavu said: Fene Anza na hizi kwanza mkuu Click to expand... Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,896 Reaction score 4,685 May 25, 2026 #14,527 Selikavu said: Fene Anza na hizi kwanza mkuu Click to expand... Vp kuhusu player development, sijaelewa bado hii kitu, Mbona hakuna commentary?
Selikavu said: Fene Anza na hizi kwanza mkuu Click to expand... Vp kuhusu player development, sijaelewa bado hii kitu, Mbona hakuna commentary?
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,896 Reaction score 4,685 May 25, 2026 #14,528 Selikavu said: Fene Anza na hizi kwanza mkuu Click to expand... Wachezaji wanapoyeza nguvu kama DLS?
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,529 Tayana-wog said: Ila selikavu🤣🤣🤣🙌 Click to expand... Kwel kabisa Yan 😃😃 me pia napambana nae
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,530 Tayana-wog said: Kwamba niendelee kuomba atabadirika🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Bado kidogo tuu huyu anabadilika mazima 😃😃
Tayana-wog said: Kwamba niendelee kuomba atabadirika🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Bado kidogo tuu huyu anabadilika mazima 😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,531 lestone said: 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini Click to expand... Njoo na wafu wako,😃😃
lestone said: 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini Click to expand... Njoo na wafu wako,😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,532 Fene said: Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick Click to expand... Nitakuwekea tutorial YouTube ila mpka nipate muda... Maana ni mbs nyingi huku haziwezi kupanda Ila unaweza ukawa unataazama mechi za huyu jamaa View: https://youtu.be/AW8arYgcEN8?si=uksK3FBCWaeCmF0E
Fene said: Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick Click to expand... Nitakuwekea tutorial YouTube ila mpka nipate muda... Maana ni mbs nyingi huku haziwezi kupanda Ila unaweza ukawa unataazama mechi za huyu jamaa View: https://youtu.be/AW8arYgcEN8?si=uksK3FBCWaeCmF0E
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,533 Fene said: Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick Click to expand... View: https://youtu.be/5uOCgXDE6bE?si=sJh0qfKVT1iD4OGm
Fene said: Nimepata muongozo mzuri Mkuu, vp namna ya kupoga kona, freekick, goalkick Click to expand... View: https://youtu.be/5uOCgXDE6bE?si=sJh0qfKVT1iD4OGm
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,534 Fene said: Vp kuhusu player development, sijaelewa bado hii kitu, Mbona hakuna commentary? Click to expand... Commentaries unadownload kwenye setting mkuu utachek unadownload Commentaries pamoja na viwanja Nitakuelekezea yote kwenye vedio nitakayotengeneza...
Fene said: Vp kuhusu player development, sijaelewa bado hii kitu, Mbona hakuna commentary? Click to expand... Commentaries unadownload kwenye setting mkuu utachek unadownload Commentaries pamoja na viwanja Nitakuelekezea yote kwenye vedio nitakayotengeneza...
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,535 Fene said: Wachezaji wanapoyeza nguvu kama DLS? Click to expand... Ile fatigue ya mechi haipo... Ila huki kuna form Mchezaji kwenye match anaweza kuwa ma A form , B ,C, D na E Kuna kakikosi kadogo nitakufanyia mpango usiwe na akina mpanzu wote atleast uone radha ya game
Fene said: Wachezaji wanapoyeza nguvu kama DLS? Click to expand... Ile fatigue ya mechi haipo... Ila huki kuna form Mchezaji kwenye match anaweza kuwa ma A form , B ,C, D na E Kuna kakikosi kadogo nitakufanyia mpango usiwe na akina mpanzu wote atleast uone radha ya game
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 29,423 Reaction score 39,471 May 26, 2026 #14,536 Selikavu said: Bado kidogo tuu huyu anabadilika mazima 😃😃 Click to expand... 😎🤣🤣🤣🤣🤣
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,327 Reaction score 29,473 May 26, 2026 #14,537 Tayana-wog said: 😎🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Nipo nae hapa kasema hawezi ishi bila wewe😃😃
lestone JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 613 Reaction score 1,284 May 26, 2026 #14,538 Selikavu said: Njoo na wafu wako,😃😃 Click to expand... 😃😃 saw mzee
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,568 Reaction score 11,394 May 26, 2026 #14,539 Tayana-wog said: Heheeehee 🤣🤣🤣we si nimeona unatongoza live Selikavu Click to expand... Nimemtongoza nani mimi? Eti Selikavu kuna mtu nimemtongoza mimi? 😂😂😂🙌
Tayana-wog said: Heheeehee 🤣🤣🤣we si nimeona unatongoza live Selikavu Click to expand... Nimemtongoza nani mimi? Eti Selikavu kuna mtu nimemtongoza mimi? 😂😂😂🙌
Warld JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 781 Reaction score 1,900 May 26, 2026 #14,540 lestone said: 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini Click to expand... Unasemaje kaka 😂🤠🤠
lestone said: 😃😃 yan ma watu wafu utakao waon kweny competion hiyo hutakaa uamini Click to expand... Unasemaje kaka 😂🤠🤠