Wanangu๐คฃ๐ซก๐๐๐๐๐Hii hadi Mimi imenihuzunishwa sana ila nimeamua kulilia chooni.
Vita ni vita... ๐Nimepita kimya kimya na kulilia chooni nimeogopa kupewa bakuli la Bichwisan.
Huyu jamaa asipothibitiwa anaweza hata kumuita hata kwenye uzi wa wavuta bange kwa MaNyangwisi wakina Maghayo Busu la Kenge
Sasa braza kaka Man u yangu imeingiaje hapa ๐๐๐Shabiki wa Man U huyo usipate nae tabu ๐
Sikuzidi wewe๐๐๐Anapenda vita baridi huyo ๐
Oyaa mimi sichezi na noobs ๐๐๐๐๐๐Hii soju nitalipia mwenyewe maana jamaa ameshashindwa kumfunga Negan๐คฃ๐คฃ
Najua kujilipia lipo wazi๐๐๐
Inakupa msongo kaka ๐Sasa braza kaka Man u yangu imeingiaje hapa ๐๐๐
Nimemkumbuka ma tamu ๐Sikuzidi wewe๐๐๐
Ya Telegram umeyaleta mpaka huku master๐คฃ๐คฃ๐คฃOyaa mimi sichezi na noobs ๐๐๐
Khalas in ur voiceNimemkumbuka ma tamu ๐
Sina msongo mawazo kaka๐คฃInakupa msongo kaka ๐
Mimi nashukuru kujiokoa kwenye addiction ya Man U maana ningekuwa naishi maisha ya tabu sana, Mimi tokea darasa la kwanza huniambii kitu kuhusu Man U bora nikose kula kuliko kukosa kucheki Man U hata mechi za usiku mzito nilikuwa natoroka home kwenda kucheki.Sasa braza kaka Man u yangu imeingiaje hapa ๐๐๐
Kaka ukiutaja huo mtandao bila code tutaonekana wahuni ๐๐๐Ya Telegram umeyaleta mpaka huku master๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Timu kama genge la wahuni, misimu 10+ haijui kombe la epl ni nini ๐๐๐Sina msongo mawazo kaka๐คฃ
Nyie ndiyo walewale tu hakuna ulichojiokoa ni umeamua kujificha tu ๐Mimi nashukuru kujiokoa kwenye addiction ya Man U maana ningekuwa naishi maisha ya tabu sana, Mimi tokea darasa la kwanza huniambii kitu kuhusu Man U bora nikose kula kuliko kukosa kucheki Man U hata mechi za usiku mzito nilikuwa natoroka home kwenda kucheki.
IKifungwa nilikuwa sina raha nikicheki mechi zao presha tupu , nikaanza kujiweka sobber program ya kuikataa sasa hata imenitoka rasmi sijui hata lini mara ya mwisho kuwaona.
Man u itakuja iniue nipo nayo mpaka mwisho ijifie yenyeweMimi nashukuru kujiokoa kwenye addiction ya Man U maana ningekuwa naishi maisha ya tabu sana, Mimi tokea darasa la kwanza huniambii kitu kuhusu Man U bora nikose kula kuliko kukosa kucheki Man U hata mechi za usiku mzito nilikuwa natoroka home kwenda kucheki.
IKifungwa nilikuwa sina raha nikicheki mechi zao presha tupu , nikaanza kujiweka sobber program ya kuikataa sasa hata imenitoka rasmi sijui hata lini mara ya mwisho kuwaona.
Tutaonekana wanamtandao๐คฃKaka ukiutaja huo mtandao bila code tutaonekana wahuni ๐๐๐
Zamani katika harakati za kuacha ndio nilikuwa hivyo nikiona gari limewaka kidogo narudi sasa miaka takribani Mi 3 sijawahi kwenda kuwacheki kabisa hata taarifa zao sifuatilii.Nyie ndiyo walewale tu hakuna ulichojiokoa ni umeamua kujificha tu ๐
Ubaya wa mashabiki wa hii timu wakipata ushindi mechi 1 tu utasikia neno lao kubwa โNdo tumeanzaโ ๐๐๐
Haifai kabisa ๐Tutaonekana wanamtandao๐คฃ
Hufai kuwa Genaral wewe, unatakiwa uwe kama Tagon ๐Zamani katika harakati za kuacha ndio nilikuwa hivyo nikiona gari limewaka kidogo narudi sasa miaka takribani Mi 3 sijawahi kwenda kuwacheki kabisa hata taarifa zao sifuatilii.
Hilo lipo ndio maana sikuacha Moja kwa Moja nikienda kwa steps , nilianza kucheki big match tu Kisha baadae nikawa nafuatilia Jf tu Sasa sipo kabisa na jimejipima hata nikipata taarifa za kichapo hainiumi sasa.
Kitu ambacho ni ngumu ni kuhama timu yaani kuanza mapenzi na timu mpya tofauti na uliyoizoea tokea utotoni ni ngumu ila kuacha kushabikia timu ukiwa bize tu na mambo mengine haiwi ngumu sana .