Kandambili master wa michezo ya nje ya uwanja pamoja na Good game after🤣🤣🤣Nimeangalia hii fixture hadi Nimechoka mkuu .... Sielewi nakuwaje na loss mapema hivi
Tupande saa ngapi mkuu?
Kandambili1 ata prove watu wrong 😅Hii league akichukua smart assist user sijui mtaniambia nini watu wa non smart assist user😃😃😃 niwaelewe
Mkuu saa 4 kamili tupande mkuu....namalizia kuchaj cm hapaHahah tutaloss wote labda..
Nipo free hapa ka na we upo free tuzame tu, au nipe ratiba nyingine
Mkuu Sina maajabu haya 😂😂😂 sijitetei ila naona dhahama huko mbeleKandambili1 ata prove watu wrong 😅
Ngoja tuoneKandambili1 ata prove watu wrong 😅
Bila smart assist bado nina imani utakiwasha tu mkuuMkuu Sina maajabu haya 😂😂😂 sijitetei ila naona dhahama huko mbele
Uchochoro kwa kounde beki ana jikuta CF uyo 😂😂sarahna suti lake sija muelewa badoNimeadjust baada ya kuangalia back ya bwana Razorblade 🤣🤣🤣hakuna sehemu utapita pale bila kuwavuta hao jamaaView attachment 3461455
Razorblade hizo 105 hapo nyuma unataka tupite wap kakaView attachment 3461456
😅😅 Razorblade me shabiki yako piga nyingi uyoo Edo kissyJF PREMIER LEAGUE.
Kama tulivyokubaliana wakuu, No Smart Assist kwenye hii ligi😀.. kuanze kuchangamka humu sasa, deadline ya hii fixture itakuwa kesho saa 2359hrs.
🙌
Round one.
View attachment 3461565
Rules..
Mechi ni 2, Home and Away.. dakika 10 CONDITIONS EXCELLENT both side, no EXTRA no PENALTIES.
Kwa ambao mna hii app ya Copafacil hii hapa link ya mashindano yote ya JF, mnaeza kufollow mkawa mnafatilia mwenendo wa ligi tutakazokuwa tunaziendesha humu JF wakuu.🫰👇
JF eFootball Champions
Gerenciador de campeonatos, Ligas e Torneios gratuito, com fotos, vídeos e notícias. Crie seu campeonato Agora!copafacil.com
#NoSmartAssist 🤞
CC - Razorblade / Edo kissy / Kandambili1 / NEGAN / Corrie de killer / Mr Devil / Mill broh / Warld / Alexander Lukashenko
Ukwelo mkuu mchezo wangu haujabadilika nilicheza na PFA wale na mazoezi ya wiki npo sawa tu....ni mambo madogo madogoBila smart assist bado nina imani utakiwasha tu mkuu
Kounde ni defensive 😃Uchochoro kwa kounde beki ana jikuta CF uyo 😂😂sarahna suti lake sija muelewa bado
Mkuu upo hewani tupande?Hahah tutaloss wote labda..
Nipo free hapa ka na we upo free tuzame tu, au nipe ratiba nyingine
Suti alishonewa la mchongoUchochoro kwa kounde beki ana jikuta CF uyo 😂😂sarahna suti lake sija muelewa bado
Nimemchek hayupo online ila atakuja uwepo hapa😃Mkuu upo hewani tupande?
Mimi kesho ndo penalt ya mwisho, nasubiri nione nitapewa nani 😂Selikavu na Razorblade msiwaze mtampata Rijkaard wiki ya mwisho😅
Haina noma.Corrie de killer tupande kesho leo takua DVN Kuitafuta nchi ya ahadi 😅😅
Si mpande tu game mbili hizo chap mkuu uzuri yupo onlineCorrie de killer tupande kesho leo takua DVN Kuitafuta nchi ya ahadi 😅😅
Doku😃😃Mimi kesho ndo penalt ya mwisho, nasubiri nione nitapewa nani 😂