Uzuri namba zenu za efootball wote Ninazo humu nitawapigia wote
Hii ni perfect meta formation 😅Uzuri namba zenu za efootball wote Ninazo humu nitawapigia wote🤣🤣🤣
In the name of Torres Acceleration Burst
Bergkamp Game changing pass
In the name of Aron Wan Bissaka my Favorite full back
And in the name of Thomas Partey alieondoka na ubingwa wa Arsenal😃😃😃
Coins naona hazifiki nimchukue Martinez😃😃 nimeshakuwa Obsessed na LBCView attachment 3461417
Nimeadjust baada ya kuangalia back ya bwana Razorblade 🤣🤣🤣hakuna sehemu utapita pale bila kuwavuta hao jamaaHii ni perfect meta formation 😅
😂😂😂💔 we jauWakuu account yangu ya Myunani imepata mteja soon tuu naachana nayo😃😃😃
Done deal all sealed agreement 10k selling fee minus 4k ya silivester na Guardiola minus coins za 5K faida inayobaki ni 1K minus bundle nililotumia 20k nakuwa nimepata Loss ya 19K pamoja na Owen🤣🤣🤣🤣
Siwezi kuwa na account mbili muda sina😂😂😂💔 we jau
Account ina gundu + wachezaji hawajitumi kazi kuvizia tu ndo wanavyopata magoli 😅Siwezi kuwa na account mbili muda sina
Ilibid nifanye maamuzi magumu tuu😃😃
Kwanzia leo kaka.. ila deadline itakuwa kesho, natuma fixture muda huuHivi mechi zinaanza leo au kesho
Kama inawezekana toa fixture za msimu mzima watu tujipange kisakolojia 😅Kwanzia leo kaka.. ila deadline itakuwa kesho, natuma fixture muda huu
😅😅 au niwape link ukimkosa opponent anaetakiwa acheze leo, unadeal hata na wa keshokutwa mmalizane 😂Kama inawezekana toa fixture za msimu mzima watu tujipange kisakolojia 😅
Nzuri hiyo cha msingi mechi za mwisho zichezwe muda mmoja😅😅 au niwape link ukimkosa opponent anaetakiwa acheze leo, unadeal hata na wa keshokutwa mmalizane 😂
Dah 🤣Account ina gundu + wachezaji hawajitumi kazi kuvizia tu ndo wanavyopata magoli 😅
Nadhani hata Yule mdogo wako nae ameikataa hiyo.
Dah account zako zote kali mzee😃😃😃Ulipata wateja wawili niletee mmoja mkuu😂
Usisahau ushauri niuzie ipi
Nimeangalia hii fixture hadi Nimechoka mkuu .... Sielewi nakuwaje na loss mapema hiviKandambili1 huu mwanzo mgumu sana nimeyakanyaga 😀
Hahah tutaloss wote labda..Nimeangalia hii fixture hadi Nimechoka mkuu .... Sielewi nakuwaje na loss mapema hivi
Tupande saa ngapi mkuu?