eFootball Special Thread

Ahaa mkuu mbona sijawahi kuziona vocha za TTCL๐Ÿ˜…
Kuna mzee anauza town huwa natuma mtu ananinunulia๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Sema uzuri bundle zake hazina kikomo cha muda ni mpaka nizimalize๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mfano mbs 500 ni Buku hizo zinakaa mpaka umalize kwahiyo nacheza match then natoa line hewan naendelea na line nyingine ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Nilipo network strong ni TTCL
 
Selikavu na Razorblade msiwaze mtampata Rijkaard wiki ya mwisho๐Ÿ˜…
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Razorblade atleast hata ametoa Gundu kampata Baresi...


Sema tupo moja moja me na yeye kipind kile nilimpata Owen yeye alikosa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Alafu kesho hiyo ndo inafika chance deal ya hawa jamaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmaana nimekosa penalty kama mara mbili hivi
 
Nikajua peke yangu nakosa penalty

Sema hii phase ya pili baada ya Hazard penalty zimekua jau sana๐Ÿ˜…
 
NIMEONA WENGI MMEPENDEKEZA NO SMART ASSIST, NA IWE HIVO KWA WOTE MTAKAOSHIRIKI LIGI.

KILA BADA YA FIXTURE NITAWEKA #NoSmartAssist ๐Ÿ˜€
 
Kuhusu Utumiaji wa smart assist au?

Hapo inanipa changamoto mi sijui nikae upande gani kama bodi ya ligi ๐Ÿ˜…..
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWadau waliomba tupeane Round kwamba mfano Round hii tunatoa tukianza league ijayo tunatoa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Tukifika stage ya kutotumia kila mtu itapendeza zaid iwe mazima ๐Ÿ˜ƒ
 
Smart assist ndio nini mkuu? Na kwanini mnaizuia?
Ni setting ipo kwenye game ambapo kuna baadhi ya function kwenye game ambazo ilibid ufanye wewe inafanya computer mfano kunyanyua pasi na Direction sahihi ya pas...

Runns sahihi za wachezaji... Kukaba na pia clearance kwahiyo unakuwa unacheza wewe pamoja na AI...

Nadhan hata wewe unatumia sema kwakuwa bado mgen unaweza usione


Sasa shida ya hii sisi ambao sio watumiaji unapata tabu sana kumkaba mtu wa smart assist ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Maana yeye anakuwa perfect kwenye runs kitu ambacho kinakuwia ugumu kukaba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Nimekupata vyema mkuu. Shukrani.
 
Wakuu account yangu ya Myunani imepata mteja soon tuu naachana nayo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Done deal all sealed agreement 10k selling fee minus 4k ya silivester na Guardiola minus coins za 5K faida inayobaki ni 1K minus bundle nililotumia 20k nakuwa nimepata Loss ya 19K pamoja na Owen๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ