We umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea 🤣🤣Mr Devil heshima yako kaka me sipo kwenye list kaka nimesurrender mapema🙌
Unajua
Doue for Ballon D or 🤣🤣🤣😃
Ligi bila smart assist inakuja, hatakama sijui kukaba siyo kufungwa goli 5+ tena mipira inapita tu kama ndege za kivita 😂😂😂😹we upo training tulia
Ni vizuri vile hakuna ligi naendelea kutrain kwa utulivu, usijeshangaa ligi ijayo nikaweka back 5 halafu DMF nikamshusha mpaka kwenye D 😂We umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea 🤣🤣
Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600🤣🤣🤣We umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea 🤣🤣
Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 😀 dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa 😄💔Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600🤣🤣🤣
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600🤣🤣🤣
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Kazeni vidole acheni kulialia 😂😂😂Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 😀 dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa 😄💔
Owaaa mbona umeshuka hivyo😃😃🙌🙌Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 😀 dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa 😄💔
Unamtaka Kwio😃😃Kazeni vidole acheni kulialia 😂😂😂
Huko siendi ng'o, Isco mwenyewe hana maajabu 😂😂😂
Kwanza Isco mwenyewe ninae 😂Unamtaka Kwio😃😃
Kumbe nikajua umesahau🤣🤣🤣Kwanza Isco mwenyewe ninae 😂
Siwezi sahau takataka ile 😂😂😂Kumbe nikajua umesahau🤣🤣🤣
Mchezaji mkali kabisa sema card ya Isco wa madrid itakuwa ya moto sana😃Siwezi sahau takataka ile 😂😂😂
Card yoyote ya live booster kwangu ni takataka 😂Mchezaji mkali kabisa sema card ya Isco wa madrid itakuwa ya moto sana😃
Wewe unamchukuliaje Pedrinho😃😃Card yoyote ya live booster kwangu ni takataka 😂
Kama ni wa live booster ni takataka tu 😂Wewe unamchukuliaje Pedrinho😃😃
Huyo bila hata booster ni wa moto😃😃Kama ni wa live booster ni takataka tu 😂
😅😅kuna wadau walianza kuku zoea hadi wakawa wana tamani wakutane na weweNi vizuri vile hakuna ligi naendelea kutrain kwa utulivu, usijeshangaa ligi ijayo nikaweka back 5 halafu DMF nikamshusha mpaka kwenye D 😂
Ulifanya makosa mkuu pale ukifika huko pumzika tu jana nimefika hadi 1797 ila sahizi nipo 1700 sijui narudijw noob mimi natesekaKuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600🤣🤣🤣
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Pedri mtu.Huyo bila hata booster ni wa moto😃😃
Kibonde 😂😅😅kuna wadau walianza kuku zoea hadi wakawa wana tamani wakutane na wewe