Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sielewi mkuu, nilikuwa nakaba kindezi sana, mechi ya kwanza nilisahau kutoa touc&flick.Razorblade Masta umeamua kunipa ushindi kijana wako ili niendelee kutesa hatua inayofuata.
View attachment 3449730@Selikavu View attachment 3449731
Sielewi mkuu, nilikuwa nakaba kindezi sana, mechi ya kwanza nilisahau kutoa touc&flick.
Good game mkuu 👍
Yaah! Ipo hivyo, bado nahangaika na update mpya.Sema masta hutengezi mashambulizi kabisa.
😹😹 kaka unge fika goal 5 ukaanza kupiga pass ataRazorblade Masta umeamua kunipa ushindi kijana wako ili niendelee kutesa hatua inayofuata.
View attachment 3449730@Selikavu View attachment 3449731
Kulikua na ligi jana mkuuAny 1 turuke
Kwan Airplane mode ulkuwa huioni mkuu🤣🤣🤣🤣Razorblade Masta umeamua kunipa ushindi kijana wako ili niendelee kutesa hatua inayofuata.
View attachment 3449730@Selikavu View attachment 3449731
Nilijua lazima unipe mechi na kandambili za umojaMr Devil utangojea matokeo kati ya Mill broh na NEGAN atayepita utakutana nae Nusu
Nusu final nyingine ni kati ya Kandambili1 vs Warld
Mechi kali kabisa😃😃
View attachment 3449875
😹😹Mr Devil utangojea matokeo kati ya Mill broh na NEGAN atayepita utakutana nae Nusu
Nusu final nyingine ni kati ya Kandambili1 vs Warld
Mechi kali kabisa😃😃
View attachment 3449875
😹😹 Negan afanye kitu aseeMr Devil utangojea matokeo kati ya Mill broh na NEGAN atayepita utakutana nae Nusu
Nusu final nyingine ni kati ya Kandambili1 vs Warld
Mechi kali kabisa😃😃
View attachment 3449875
😹wazee wa one pass lolote liwakuteNilijua lazima unipe mechi na kandambili za umoja
Alafu sijapanga Mimi mkuu ni Application pia ilikuwa inafahamika kuwa utakutana na Kandambili 😃😃😃Nilijua lazima unipe mechi na kandambili za umoja
Naona Ni mimi tu ndio sija dharirika bado Kandambili1 , Warld Mill broh sio watu wa mchezo hii week 😹Sema hii league week hii watu wamekula vipigo heavy
Kwel Huruma sio malezi😃😃
Wewe inabidi ukutane na mill broh😀😹😹 Negan afanye kitu asee
😹wazee wa one pass lolote liwakute
Unamtaka Negan😃😃😃omba tu wasicheze upite fainal moja kwa moja🤣🤣🤣😹😹 Negan afanye kitu asee
😹wazee wa one pass lolote liwakute
Mkuu hamjacheza jana na wote hamkuwepo shida niniWewe inabidi ukutane na mill broh😀
Hii app yako inatunza record za nyuma maana kila round napewa watu kazi😀Alafu sijapanga Mimi mkuu ni Application pia ilikuwa inafahamika kuwa utakutana na Kandambili 😃😃😃
Kikawake sasa mechi kali kabisa🤣🤣
Mimi niliwahi kulala mchana nakua busy mill broh apewe ushindi round hiiMkuu hamjacheza jana na wote hamkuwepo shida nini
Robo fainal huwa inamkutanisha mtu 1 vs 8 na wa 2 vs 7 wa 3 vs 6 na Wa 4 vs 5Hii app yako inatunza record za nyuma maana kila round napewa watu kazi😀