Nimefika division 5 ila hali ya kikosi changu hairidhishi na nimejaribu mara kadhaa lakini kutoboa hapo imekuwa ngumu, wachezaji wanakuwa wazito katika utendaji.
Ngoja nipumzike hapa kwanza kwa muda nijitafute tena.
Nimefika division 5 ila hali ya kikosi changu hairidhishi na nimejaribu mara kadhaa lakini kutoboa hapo imekuwa ngumu, wachezaji wanakuwa wazito katika utendaji.View attachment 3257443