Efootball hii ndo game bora ya mpira 2025

Efootball hii ndo game bora ya mpira 2025

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20251121_035515_0000.png


Kampuni ya Konami Digital Entertainment LTD, imefurahi kutangazwa Kwa Game ya EFOOTBALL imeshinda Kategoria ya "Best ongoing category" kwenye soko la Play store Kwa mwaka 2025.

2_20251121_035516_0001.png
3_20251121_035516_0002.png
4_20251121_035516_0003.png


Kila mwaka Google wanatoa tuzo kwenye program Yao ya Play store kutoka Kwa Apps, Games na maudhui mengine yaliyopata umaarufu zaidi kupitia soko la Play store toka nchi ya Japan.

7_20251121_035516_0006.png



Kupitia kipengele cha "Best ongoing category" Kwa mwaka huu 2025 imechukuliwa na game ya EFOOTBALL , ni game iliyofanya vizuri zaidi Kwa watu kuendelea kutumia Kwa mwaka huu 2025.

5_20251121_035516_0004.png
6_20251121_035516_0005.png


Tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1995 game ya EFOOTBALL imekuwa ikipendwa sana na Mashabiki mbalimbali ulimwenguni wa Mpira wa miguu, huku mwaka huu 2025 ikifanikiwa kusherekea miaka yake 30 kuanzishwa kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom