INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 1,801
- 16,593
WaishatishwaKiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa hando?...
Kwamba hando mtu wa mionzi sanaMajizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Wala siyo inshu ya media uchwara mkuu.Media uchwara za Bongo..
Tatizo lilianzia kwa Magufuli hili. Nchi imekuwa ya hovyo Sana.Job Ndugai Syndrome continues.
Waishatishwa