GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,021
- 126,444
Mkuu mbona sikuoni kwenye uzi wa rafiki yako nifah unaomuhusu Mange kule celebrities?
Let me apply the Spiral of Silence Theory over this please!
Mkuu mbona sikuoni kwenye uzi wa rafiki yako nifah unaomuhusu Mange kule celebrities?
And FYI....Kweli nimeamini ukimsifia mgema lazima tembo alitie maji, EFM sasa wamekuwa ni watu wa kutangaza singeri na jogingi kwa kuvipatia air time kubwa kuliko habari za michezo, sifa ni kitu kibaya sana.