EFM radio wamesha lewa sifa

EFM radio wamesha lewa sifa

Umetumwa na Ruge wewe kwendraaaaaa zako hakuna anayesikiliza Mawingu radio nimesikiliza leo Pb imepwaya sana Kp hakiwezi kbs kipindi sioni Clouds ni km haipo
Mawingu ndio kitu gani kwenye media?
 
Kicheko nae kashachukuliwa na clouds media singeli itapwaya sana
 
Umetumwa na Ruge wewe kwendraaaaaa zako hakuna anayesikiliza Mawingu radio nimesikiliza leo Pb imepwaya sana Kp hakiwezi kbs kipindi sioni Clouds ni km haipo
Hahaha uko sahihi kabisa mzeiyaa Pj na Hando wamehama na team nzima ya pb
 
Kweli nimeamini ukimsifia mgema lazima tembo alitie maji, EFM sasa wamekuwa ni watu wa kutangaza singeri na jogingi kwa kuvipatia air time kubwa kuliko habari za michezo, sifa ni kitu kibaya sana.

Siku moja nilipokuja humu na UZI wa kuwaponda hao hao EFM nakumbuka na Wewe ulikuwa ni mmoja wa Watu mlionidhihaki na kuniona kama nakurupuka na bahati nzuri leo tena na Wewe umekuja mule mule. Namshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa kunipa " jicho " linaloona mapema kabla ya wengine wote. Kuna siku tu mtakuja kunikubali wote!
 
Kweli nimeamini ukimsifia mgema lazima tembo alitie maji, EFM sasa wamekuwa ni watu wa kutangaza singeri na jogingi kwa kuvipatia air time kubwa kuliko habari za michezo, sifa ni kitu kibaya sana.
Biashara ni kulenga mkuu,inawezekana wamapata watu kwa mambo hayo ndio maana wamejiegemeza huko
Redio mbona zipo nyingi tu sikiliza TBC basi
 
Kweli nimeamini ukimsifia mgema lazima tembo alitie maji, EFM sasa wamekuwa ni watu wa kutangaza singeri na jogingi kwa kuvipatia air time kubwa kuliko habari za michezo, sifa ni kitu kibaya sana.
Mojawapo ya vitu vilivyoifanya EFM iwe maarufu ni kuutangaza na kuupromote muziki wa Singeli...

Kusema kwamba EFM wanatangaza singeli na jogging muda wote unadanganya...

Kinachofanyika saaa hivi ni muendelezo wa ile misimu ya kutoa burudani na zawadi kwa wasikilizaji wao...

EFM wanayo matamasha kwa misimu tofauti....Kuna SHIKA NDINGA....KAPU LA EFM na sasa ni msimu wa MUZIKI MNENE ambao ulianzia Boko na wiki hii wapo Temeke....Vipindi kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ni vilevile MAWIO..JOTO LA ASUBUHI...SPORTS HQ...UHONDO...LADHA 3600...UBAONI...E SPORTS....GENGE (hiki ndicho kipindi maalum kwa muziki wa singeli)...LULLABY na MPAKA KUCHEE...

Pia weekend wana vipindi kama E GOSPEL...LADHA TAMU...FUNGA MTAA(Muziki wa singeli)...AFRO POWER...BUSTANI YA WATOTO...MUDA WETU...MIX SUNDAY...OLD SKUL HIT...OLDS 80s...RDJ MIX na NGOMA REGGAE...

Kusema kwamba muda wote wanatangaza singeli na jogging sio kweli...

Katika huu msimu wa MUZIKI MNENE kila Jumatano wanakuwa na matangazo ya nje live (Kipindi cha Uhondo)..Alhamisi ni matangazo ya nje live (kipindi cha Sports Hq)...Ijumaa ni matangazo ya nje live(Joto la Asubuhi)...

Junamosi ni EFM jogging club...pia kunakuwa na bonanza(mechi za mpira wa miguu) ...Matukio ya kijamii(kufanya usafi Temeke Hosputal) na usiku ni mwendo wa burudani live kutoka kwa RDJs wa EFM na wasanii ambapo wikiend hii ni Temekeeeee...Pia kuna Singeli michano(mashindano ya kutafuta wasanii chipukizi wa Singeli)..Usiku mambo yote yatakuwa Buliaga Bar - Temeke..Dullah Makabila na Ruby watatoa burudani ya live..

Matangazo haya na burudani za bure za live za singeli zinaifanya EFM ipendwe sana...

Muziki unaongea....Amsha popo...

[HASHTAG]#TUNASEPANAKIJIJI[/HASHTAG]....
 
Siku moja nilipokuja humu na UZI wa kuwaponda hao hao EFM nakumbuka na Wewe ulikuwa ni mmoja wa Watu mlionidhihaki na kuniona kama nakurupuka na bahati nzuri leo tena na Wewe umekuja mule mule. Namshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa kunipa " jicho " linaloona mapema kabla ya wengine wote. Kuna siku tu mtakuja kunikubali wote!
Mkuu mbona sikuoni kwenye uzi wa rafiki yako nifah unaomuhusu Mange kule celebrities?
 
Back
Top Bottom