Effects za UKUTA

Na kumbuka serikali imetumia billion 36 kuzima moto wa Ukuta.


Swissme
Na hizo bilioni 36 zitarudi tumeanza na Vifaa vya Tanzania daima na kesho tunavipiga mnada tunahamia billicanas mwisho tunafunga breki pale NSSF
 
Jirani yako kakwambia hivi, "mbuzi wako wanakula mazao yangu, kama wakiendelea kula ntajua cha kufanya"

Wewe ukaenda kununua kamba mpya, ukajenga zizi gumu kuliko la zamani ili wasibomoe ukaajiri mchungaji, pengine akaanza kuwatafutia majani na kuwalisha wakiwa zizini,
Je gharama hizo linakuwa deni kwake?
Kama unaweza kusema yeye ndiye kakutia hasara, huoni kama unasitahili kuitwa jina lolote baya?
 
Jirani yako kakwambia hivi, "mbuzi wako wanakula mazao yangu, kama wakiendelea kula ntajua cha kufanya"

Je gharama utakazotumia kujihadhali au kudhibiti linakuwa deni kwake?
Ukienda kumdai, watu wakakuita jina lolote baya utalaumu?
 
Ni tukio ambalo limeacha kumbukumbu..kuna vijana walikuwa na hasira sema ndo vile wana nyota ya Ban
 
 
Hahaha hunitishi mkuu kwakuwa wanakusifiaga uchawi so unaanza kunitisha mimi kama Magufuli Huwa Sijaribiwi. Ulozi mwisho Ufipa huku ni kuvunja tuu Ukuta
Mmh hapo ulozi uko wapi? angalia vizuri hiyo picha kisha tafakari kama gt
 
Hivi tujiulize,hvi lipi geni kati ya hayokufanywa na jeshi?au ndio Siasa mfu zimeongeza uwezo wetu wa Kumbukumbu.

Kurusha ndege za Kijeshi,mazoezi hayo hufanywa sana kwenye mikoa yenye base.

Usafi hufanywa na kazi nyijgine za kijamii,kama huna kumbukumbu,fuatilia maadhimisho hayo ya miaka ya nyuma utajua kwamba walifanya makubwa zaidi ya hayo.

Sasa imekuwa kila kitu UKUTAAA,UKUUTAA,walioshika UKUTA waacheni tu waushike mpaka 1st Oct.
Hayowangesema watoto waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu,ila sie wa chini ya hapo ambao tumehudhuria maadhimisho yao Mengi tunajua nini jeshi linafanya.
Na Tatizo kubwa sana ni wengi kuwa na Ugonjwa wa msongo wa Siasa na Kusoma kwa Kukariri na kutokuwa na kumbukumbu,na uwezo mdogo wa kufuatilia mambo.

Kwa vile UKUTA umeingilia Maadhimisho hayo basi hata wale ambao hata kujua Maadhimisho ya miaka ya nyuma yalikuwaje,hamna.Akili Siasa tuuu.Vizazi vitawahukum kwa kutokuwa na Kumbukumbu na ndio maana siku hizi vitoto vya Shule ya msingi vinaweza kukupiga swali mtu mzima ukabakia unatoa macho,mwisho wa siku anakuwekea heshima tu,ila angekuuliza hivi Baba wewe umesoma kweli?

Mshana fani yako ni UGANGA mkuu,huku waachie wenyewe.
Hembu tuambie matokeo baada ya jua kukamatawa
 
Fasihi iliyojaa dhihaka ndani yake na ukweli kiduchu...ila kwakuwa ni malumbano ya hoja hakuna tatizo...mitazamo haiweZi kuwa sawa ila ukweli hubaki kuwa ukweli
 
Inabidi Mbowe akupe nishani kwa jinsi unavyojitahidi kufufua hamasa ya ukuta hapa jamvini.
Lakini ukweli ni kuwa lile ahirisho limerudisha mambo mengi sana, na ya muhimu hatua hamsini nyuma.
Na ukiunganisha na ile gia iliyobadilika wakati wa itisho la kulinda kura (na watu wameathirika nalo na kushuka morali).
Kuna siku chadema itahitaji mass support kubwa kwa ajili ya swala fulani...hapo ndo mtakapojua chadema kachemsha...
"Never cry wolf..."
 
The only good thing ni kwamba humaanishi unachoongea kwakuwa kwa dhati ya moyo wako ukweli ni tofauti na hiki ulichoandika
Nimeandika uhalisia ambao hauna chembe ya mahusiano na Mbowe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…