Effects za BAN

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Kwangu imenipotezea ladha ya jamiiforums kabisaa! Huwa naingia kwasababu tu,ni sehemu niliyokuwa nimeizoea

I don't feel the same as it used to be!

Wito: punguzeni ban zinazoweza kukwepeka!
 
kwangu imenipotezea ladha ya jamiiforums kabisaa! Huwa naingia kwasababu tu,ni sehemu niliyokuwa nimeizoea

i don't feel the same as it used to be!

wito: Punguzeni ban zinazoweza kukwepeka!

wito:punguza kukiuka taratibu na kanuni za jf.
 
Kwangu imenipotezea ladha ya jamiiforums kabisaa! Huwa naingia kwasababu tu,ni sehemu niliyokuwa nimeizoea

I don't feel the same as it used to be!

Wito: punguzeni ban zinazoweza kukwepeka!

Dah mkuu mimi ilinipata hii 24/01/2014 na nilikaa mwezi sijaruka kabisa, ni jana tu nimeingia humu!!! Ila pia nilikwazika na mcheche sina tena!! Tena ban ambayo ingeweza kuzuilika maana hata haikumhusu member wa hapa moja kwa moja labda kama yuko kama anonym. Kweli iliniuma sana na ninaiona JF wa jicho la pili.
 
Kwangu imenipotezea ladha ya jamiiforums kabisaa! Huwa naingia kwasababu tu,ni sehemu niliyokuwa nimeizoea

I don't feel the same as it used to be!

Wito: punguzeni ban zinazoweza kukwepeka!

Kuna taratibu na kanuni tulizojiwekea hapa JF.........ukizingatia hiyo miongozo wala hakutakuwa na tatizo kwa mwanaJF yeyote..........pole kwa ban.......acha kisirani pia....kisirani sio tabia nzuri kwa afya yako........
 
utakula ban mpaka uhame mtandao ni bora uwe mpole na usipende kushinda jukwaa la siasa mkuu utafurahia maisha ya jf..

Ha ha ha hilo la Siasa ni jukwaa langu pendwa!!! Ilinipa ban ya wiki moja nzima January 24, 2014. Ila kweli imeniput off sana kiasi kwamba naona niko MMU sasa zaidi.
 
wito:punguza kukiuka taratibu na kanuni za jf.

Mkuu unajua mods nao ni binadamu, kuna issues hata kama hujatumia lugha chafu against member hapa kama unamzungumzia mwanasiasa Fulani basi kunakuwa na conflicts of interest. Just my observation. Mimi nilikula ban si kwa kuchashifu hapa bali kwa kurusha konde kwa mwanasiasa mmoja mzigo ulioamua kujiuzulu wenyewe.
 
Back
Top Bottom