EFD MASHINE

Mgole16

Member
Jan 16, 2016
8
6
Mh rais aliwaambia TRA wagawe hizi machine za EFD kwa wananchi wao kusanye kodi na juzi juzi waziri wa fedha alirudia, naomba kufaham utekelezaji umeanza au bardo? Na kama tiyari taratibu zikoje?
 
Back
Top Bottom