Eeprom Programing Error

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Hello bosses..!

Nahitaji kuprogram Eeprom ya immobilizer ya kwenye gari lkn naambiwa 'Chip detect error'

Reader ninayoitumia ni EZP2010, chip ni RA57. Any ideas wataalam

Cc: dronedrake
 
1. na assume iyo EZP2010 ina support RA57 ( ambayo ni AT93C56 )

2. njia sahihi na ya uhakika ni kui de-solder iyo IC then unai program pembeni, hapa utahitaji hot gun blower kuitoa/kuirudisha

3. njia ya pili ikikataa, na assume EZP2010 haisupport iyo IC ? au ni mbovu ? waweza tumia arduino pia kama programmer
 
1. na assume iyo EZP2010 ina support RA57 ( ambayo ni AT93C56 )...
Nimejaribu kuweka option za At93C56 lakini inakataa.

Chip sidhan kama ni mbovu coz ndo nmei-desolder kutoka kwenye ECU, so chances ya kuwa mbovu ni chache sana.

Naomba unielekeze namna ya kutumia arduino kuprogram coz nmefatilia schematics za mtandaoni lkn bado sijafanikiwa. Natumia Arduino Uno.
 
Nimejaribu kuweka option za At93C56 lakini inakataa.

Chip sidhan kama ni mbovu coz ndo nmei-desolder kutoka kwenye ECU, so chances ya kuwa mbovu ni chache sana.

Naomba unielekeze namna ya kutumia arduino kuprogram coz nmefatilia schematics za mtandaoni lkn bado sijafanikiwa. Natumia Arduino Uno.

katumia arduino nano, haina tofauti na uno, pins ni zilezile

ukikwama nistue
 
Mkuu dronedrake nimecheki hio link nikafuata setup zake lkn kila nikiupload code napata "avrdude:content mismatch error".

Setup yangu hii hapa chini
IMG_20210113_130513.jpg
IMG_20210113_130502.jpg






Mwanzo kabla ya kutumia scripts za kwenye hii project, uploading ilikua iko sawa kwa projects nyingine lkn baada ya hii script kufail nimejaribu scripts zangu za zamani nazo zinafail kwa hiohio content mismatch error.

Any idea mkuu?
 

Attachments

  • IMG_20210113_130524.jpg
    IMG_20210113_130524.jpg
    150.9 KB · Views: 2
Kabla kiongozi dronedrake hajarudi unaweza check hii link [SOLVED] verification error; content mismatch inaweza kusaidia.Lakini pia nadhan content mismatch inatokana na data tofauti na isiyotegemewa kuandikwa kwenye chip. Ni Muda kidogo nimetumia arduino,sasa hivi nipo na ndugu yake raspiberry pi kwenye turtlebot 3
Nakuombea ufanikiwe mkuu
Shukran mkuu niliipitia solutions zao wanadai ku-reburn bootloader ila kwa vifaa wanavyotumia hapo sina kwa sasa mpaka niagize na delivery sio ya leo wala kesho af hii kitu inahitajika haraka, so nasubiri kama dronedrake atakua na solution ambayo haitohitaji vifaa zaidi nje ya hivi basic.
 
Iyo programmer ya EZP2010 haiwezi soma iyo memory, haiko supported. Tumia programmer nyingine

Programmer moja wapo ni iyo Arduino uno
Kama unapata hii error
avrdude: verifying …
avrdude: verification error, first mismatch at byte 0x0000
0x62 != 0x0c
avrdude: verification error; content mismatch
Tatizo ni corrupted boot-loader kwenyr Atmel microprocessor, ambayo mara nyingi ni ATmega328P kwenye mofel tofaut tofaut za arduino.
Sababu kubwa ya bootloader kufail ni voltage fluctuations kwenye power input kwenda kwenye microprocessor. Low voltage ndio tatizo kubwa kuliko over voltage.
Inaonekana imesababishwa na schematics uliyitumia

Solutions ni mbili
  1. Nunua USB ISP/SPI AVR programmer au
  2. program Arduino ya pili i act kama ISP/SPI AVR programmer
 
Okay mkuu, nilisolve hio avrdude error. Unaweza kunidirect schematic ya Arduino nnayoweza kutumia kusoma hii eeprom
 
Hii pamoja na ya dronedrake hapo juu nmeshazifuatilia lkn naishia kupata hio avr dude error.

Sijajua nakwama wp, unaweza cheki setup zangu hapo juu
 
Hii pamoja na ya dronedrake hapo juu nmeshazifuatilia lkn naishia kupata hio avr dude error.

Sijajua nakwama wp, unaweza cheki setup zangu hapo juu
Toa serial connected devices zote kwenye pin za (Tx,RX) . Upload sketch yako kisha ziconnect tena

Bootloader kureburn umetumia njia gani kati ya usbasp au uno nyingine?

Angalia pia sehemu ulizosolder connection zako pia kusije kukawa na short circuit
 
Kwenye hizo kaka ukipata progammer ya
RT 809F au
RT 809H utakua umemamaliza hilo jambo kwa haraka zina support chips nyingi sana na hua na update mara kwa mara na usisahau kuagiza na adopter za chips unazoitaji.bila shaka itakusaidia sana
 
Nipo Moshi kama upo maeneo ya karibu nitafute nitakusaidia maana ninayo unaweza kuja na file yako alafu ukaja ukafanya programe mara moja ukaenda kumaliza kazi yako
 
Nipo Moshi kama upo maeneo ya karibu nitafute nitakusaidia maana ninayo unaweza kuja na file yako alafu ukaja ukafanya programe mara moja ukaenda kumaliza kazi yako
Shukran mkuu ila niko mbali, lakini nitaagiza hio programmer ulosema hapo juu nijaribu coz hii issue naihitaji mara kwa mara na imekua inanisumbua sana
 
Back
Top Bottom