eeh! Mungu skia maombi yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

eeh! Mungu skia maombi yangu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ney kush, Oct 30, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  hivi ni kweli umewatuma manabii wengine,maana kila kukicha kuna kanisa jingine,huyu nabii na huyu ni nabii mwingine,huyu anaponda na huyu anampinga mwingine,wanahubiri kuhusu pesa na sio kitu kingine,toa ndugu toa toa ulichonacho kingine,Mungu nioneshe njia nionyeshe ishara nyingine,yapo mambo mengi tu siwezi taja mengine,hata demu wangu nahisi ana mshikaji mwingine,maana kabadilika kawa kama yule mwingine,niliemfuma live akiwa na boya mwingine,nisamehe zambi ya kuzini sina zambi nyingine,mwokozi wangu okoa members wengine,charming lady,smile, na kongosho pengine,Eb52,belinda jacob jina kama la mke wangu mwingne,judgement pacha sijakusahau mwingine,asprin babu tuko pamoja pengine,sweety lady me sina la ziada jingine,mamndenyi japo umehadimika pengine,kama cjakutaja jua tuko pamoja kwa namna nyingine,naomba niseme AMEN kama wanigeria tena kwa mara nyingine....AMEN
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Viroba haviwekwi kwenye friji ndugu, ohoo!!!
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kwi kwi kwi kwi!!
   
Loading...