Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

Muulize binamu Kaizer yeye ndo alidelegate hilo suala nikurudishie uongozi

Hahaha! Haya bana! Mmenifanyia ufisadi siyo? Btw nambie haka kabaridi, na we mwenyewe uko singo, si unataabika sana?
 
Hahaha! Haya bana! Mmenifanyia ufisadi siyo? Btw nambie haka kabaridi, na we mwenyewe uko singo, si unataabika sana?

Si sana kawaida tu nimejivalia sweater nifanyeje sasa????naona JF watu wote wana wenza.........lol!!!
 
Mi bado nimebanwa na mtoto wa uswazi ndo maana mnaona kimyaaaaaa kingi maana huku jamani yaani raha tupu kama nipo Chuda vile.
 
HEHEHE!wewe mtundu sana

fidel yupo loose

Fidel kabanwa na mtoto wa uswaz si unamuona mwenyewe hapo juu alivyosema???
icon10.gif
 
Si sana kawaida tu nimejivalia sweater nifanyeje sasa????naona JF watu wote wana wenza.........lol!!!

Js pole ..sasa tukusaidie vipi??? mi ntakununulia hot water bottle to keep warm..:p
 
Back
Top Bottom