Eeeh! Kumbe ndiyo maana mwanabodi Pascal Mayalla hapati uteuzi!!!!?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,111
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.

Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..

Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?

Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
 
Brother are you sure???
 
..hii habari sio ya kweli.

..Mzee wake Pasco hakuwahi kutiwa hatiani, wala kushtakiwa kwa kosa la uhaini.

..Nakushauri ufute mada yako ili kulinda hadhi ya jukwaa letu.
 
Paskali ana uzi humu unaosema "Mimi Pascal Mayalla sipongezi kutafuta uteuzi wowote,pongezi zangu ni bonifide-genuine kumtia moyo kwa mazuri ya kweli"

Sidhani watoto wa viongozi wa zamani wanaoteuliwa ni kwamba wazazi wao walikuwa wasafi sana
 
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.

Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..

Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?

Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
Je huyo Pascal anaweza nini hadi ateuliwe? je hata kama ni mtu duni anaweza hata kuua ili apate uteuzi kama akina naniliu?
 
Back
Top Bottom