Weka hapa hiyo link iliyo na hiyo mada, nithibitishe mwenyewe.
..kwanini humdai mtoa mada akupe uthibitisho?
Weka hapa hiyo link iliyo na hiyo mada, nithibitishe mwenyewe.
Kosa lako kuu lio haa haa, kwenye hii mistari miwili na nusu.Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa
Ni Uongo. Haikuhusu "uhaini" kama inavyo elezwa ndani ya mada.Thibitisha ni habari ya uongo.
Anaweza kusifu kama chawa wengineJe huyo Pascal anaweza nini hadi ateuliwe? je hata kama ni mtu duni anaweza hata kuua ili apate uteuzi kama akina naniliu?
Unfree chiba lissu hadi aseme ameolewa na nani ubelgijiFree lisu
Kama ni kweli inasikitisha maana najiuliza pamoja na uchambuzi wake makini, iweje mtu kama Steve Nyerere anachaguliwa kuwa mshauri wa rais na si mtu kama Pascal Mayalla?Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.
Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..
Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?
Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
Friji ligandishe....nimesikia wimbo wa kwaya kutoka Zanzibar.Mungu nifundishe kunyamaza
Katika majina 23 ya watuhimiwa wa uhani Wakuu jina "Mayalla" halimo, labda kama alikuwa mhusika bapa au mhusika mviringo!Thibitisha ni habari ya uongo.
Kabisa....jamaa kaandika uongo mtupu..hii habari sio ya kweli.
..Mzee wake Pasco hakuwahi kutiwa hatiani, wala kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
..Nakushauri ufute mada yako ili kulinda hadhi ya jukwaa letu.
Kwani hajajikita na investment au ukijikita na investment huna ruhusa ya kufanya kama anachofanya braza PASCO!?Anaweza kusifu kama chawa wengine
Mayalla hana kibali. Sad party ni anazeeka akiwa hana kitu . Nadhan ajikite na investment zake …. Kwa sasa
Uchawa na neutrality hazitomlipa
Japo ni mtu mwema but he is too neutral
Ana umma na kupuliza
Ni jamii ya ZZK
👊As long as halali njaa na hatembei kwa "miguu" ni sawa
Mayalla sr alistaafu na Waziri wa mambo ya ndani Mzee Mwinyi ambaye baada ya miaka michache akawa Rais wa Zanzibar kisha Rais wa JMT..hii habari sio ya kweli.
..Mzee wake Pasco hakuwahi kutiwa hatiani, wala kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
..Nakushauri ufute mada yako ili kulinda hadhi ya jukwaa letu.
Hakika Mkuu,Ukiona chama kilichokuwa hovyo kama CCM ilipofikia; na mtu kama huyo bado hawezi kuingia ujue tatizo ni la huyo huyo mhusika; wala siyo la mtu mwingine yeyote.
😅😅Nililia sana siku ile niliposikia matokeo,Pascal Mayalla alie pata kura moja ya wajumbe pale kawe ambayo ni yake peke ake sio ,