Ee Mungu isaidie nchi yangu Tanzania

huba.c

Member
Jun 16, 2011
30
5
Watanzania wenzangu kilichobaki ni kuiombea hii nchi serious kabisa pipo just take a second useme mungu saidia nchi yangu! We sang well the song Mungu ibariki Tanzania kaibariki wachache wakaiba baraka zetu sasa tunalia mgao na njaa!
Hivi watanzania tunaenda wapi? Hii siasa inatupeleka kama wehu wengine hata hawaelewi damu zao ni kijan au nyekundu na ikikauka itakuaje! Wake up pipo wake up TUAMKE jaman na huu mgao wa umeme tutasahau kama kumekucha maana wanataman hata wazime mwanga wa Mungu!
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo mnyongeee haki yangu nipeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom