ni kweli dear. Vitu vingine ukikaa ukafikiria unavyofanya kila siku unapata moyo wewe ni super woman. Uamke asubuhi mzee umpe cha asubuhi, mtoto aandaliwe shule, mzee anyooshewe nguo za kazini na zako, wakati huo chai ipo jikoni, na hakuna muda jina mama linaitwa mara nyingi kama asubuhi(kwangu mimi), uangalie kila kitu kipo sawa, na uweke utaratibu wa mchana vizuri hadi jioni, upo kazini unawaza jioni itakuwaje, upige simu mara nanenane kukumbushia vitu. Bado ukirudi jioni u do it all over again. Sio rahisi hata kidogo ila ina heshima na baraka zake.hahahahahahahahahaha
Nafikiri Mungu ametupa uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa
Sijiongelei mimi.Sio lazima mkuu, tena ni vizuri zaidi kubaki bila kuoa/kuolewa. Ila kama huwezi kuyamudu maisha ya kuwa single, basi karibu kwenye ulimwengu wa ndoa.
Mwngie hata akuone unahangaika vipi atakutizama km mpicha,km hakujui vile,kuna wanaume wanamijiroho mibaya jamani,uhangaike na mtoto upike ufue,ufanye kazi zooote lenyewe limevimba tuu kwny kochi,mpyuuuuuHaya maelezo yako ndo yanakaribia kuwa 'theory'. Nina mifano mingi sana za wanandoa, mwanaume anakaa kama gogo ndani ya nyumba.
Labda kwa sababu umesema 'mwanaume wa shoka'.
Sasa sijui hawa wengine ni wanaume wa kisu.
Duuh anazibua choo ili watu wakajaze chooWewe puuzi kweli jaribu usiache pesa asubuhi uone utakavyoandamwa, mgawanyo wa kazi wewe unaona kuwa mwanaume raha, mbona usemi wababa wasukuma mikokoteni, wabeba mizigo mizito, wachimbua na wazibua mitaro ya mavi ili huyo mke na watoto wapate kwenda choo.
Exactly, unajua wanaume wengi wanafikiri wajibu wao ni kutoa matumizi kununua nguo basi, lakini kuna zaidi ya hayo japo hata hayo ni ya msingi.
Fikiria huyu mama kashinda na watoto, umerudi ukakuta chakula tayari kimepikwa, muda wa kulala mgegedo unauta mama huyo huyo ananyonyesha mtoto huku mgegedo unaendelea...... baadaye mtoto anaanza kulia mama huyo huyo anaamka kumbembeleza mwanaume umetulia kitandani kimya unasubiri mgegedo wa alfajiri?
Not fair, huyu mwanamke anachoka.
Umenena vema kbs, well balancedNi kweli mwanamke ana stahili huruma yake,lakini hiyo haimaanishi kuwa mumewe hana haki ya kupewa huduma ya chumbani bali huo ndio usaidizi wa mwanamke kwa mumewe kwa sababu mume ndio anae hakikisha kila siku mkate upo mezani.
Big up kwa wao wanaojua nini wsnafanya bila kulalamika ,cha msingi tu kama una kauwezo mwongezee mschana wa kazi ili ainjoy maisha.Ameeen napokea hizo baraka kwa mikono miwili ndo maisha yangu hayo kila siku naamka wa kwanza nalala wa mwisho na ni muajiriwa. Big up all ladies ambao ni wake na mama mnaojua wajibu wenu.
ni kweli dear. Vitu vingine ukikaa ukafikiria unavyofanya kila siku unapata moyo wewe ni super woman. Uamke asubuhi mzee umpe cha asubuhi, mtoto aandaliwe shule, mzee anyooshewe nguo za kazini na zako, wakati huo chai ipo jikoni, na hakuna muda jina mama linaitwa mara nyingi kama asubuhi(kwangu mimi), uangalie kila kitu kipo sawa, na uweke utaratibu wa mchana vizuri hadi jioni, upo kazini unawaza jioni itakuwaje, upige simu mara nanenane kukumbushia vitu. Bado ukirudi jioni u do it all over again. Sio rahisi hata kidogo ila ina heshima na baraka zake.
Una mpango wa kuoa ama umeoa?Kwani kuolewa lazima?
Nina mpango wa kuleta posa kwenu.Una mpango wa kuoa ama umeoa?
Ooh lini sasa?Nina mpango wa kuleta posa kwenu.
Halafu kipindi hiki posa inayokubalika zaidi ni sukari.Nina mpango wa kuleta posa kwenu.
Ebu fafanua mkuu.Hiyo ni Nature huwezi ibadili
Sukari mi nina kiwanda kabisa Kilombero. Hili si tatizo.Halafu kipindi hiki posa inayokubalika zaidi ni sukari.
Acha kujidanganya, kiwanda cha makaburu kile..!![emoji125] [emoji125]Sukari mi nina kiwanda kabisa Kilombero. Hili si tatizo.
Kiwanda kipi unakiongelea? Na unajuaje kwamba hicho unachoongelea ndicho ninachoongelea mimi?Acha kujidanganya, kiwanda cha makaburu kile..!![emoji125] [emoji125]