Edward Lowassa: Tatizo ni uwaziri mkuu (tafadhari isome hii)

Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?

Prof. Mwandosya angepataje wakati kwa CCM ilikuwa zamu ya Rais Muislamu toka Bara? sasa huo wivu

wa kimadaraka ulitokea wapi? Hizi story ni za kuineemesha CCM? Story za Alfa Ulela Ulela?

Tuache haya Mambo ya kuwekeana fitina na visa vya uongo, CCM Central Committee ilikuwa na watu

wawili tu Salim Ahmed Salim na Jakaya Mrisho Kikwete; Hapo ndipo S.A.Salim aliposemwa Vibaya

kulikuwa hakuna Prof. Pale
 
.....mkuu,dah!punguza jaziba,tutafika 2

mkuu sidhani kama tutafika maana hawa magamba kilichobaki wanatukomoa sana sana we ona deni limefikia kiasi gani toka tu juzi 2009 halafu msomi mwingine anashabikia anasema eti ni kawaida nchi kudaiwa kwanza tunadaiwa kidogo sana ukilinganisha na nchi nyingine hili ni sahihi kwa mzalendo kuongea hivyo kweli??? hilo deni tumelitumia kwa lipi. kwani kuna tofauti jamani unaweza kukopa hela bank tena nyingi tu ukazitumia kuoa mke wa pili na sherehe juu na mwingine akakopa kwa kuzitumia kwa kusudio maalumu na kupata faida na kurudisha kwa wakati wote hawa si wanaitwa wadaiwa?? sasa hapo mtu bila kuchambua anasema ni kawaida tu. dah bado ni safari ndefu hakika naona kama watu bado wana mawazo mgando bado tunasafari ndefu sana mkuu. dah,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Mwaka 2005 wakati Jakaya Kikwete anagombea Urais ilijulikana wazi kuwa kama angepata Urais basi Lowassa Ngoyai Edward angekuwa Wazir Mkuu- "YAKATIMIA"

Au kama Prof Mark Mwandosya angepata Urais basi Dr Harrison Mwakyembe angeukwaa Uwazir mkuu- "HAYAKUTIMIA"

Ili kutihibitisha hili- Wakati Dr Harrison anakabidhiwa jukumu la kuifatilia sakata lile mpaka tupo njia panda (Richmond) alimwambia Lowasa ajitetee- na Mkuu huyu wakati anajitetea alisema " TATIZO NI HUU UWAZIRI MKUU"

Hii ni kumaanisha kuwa ilikuwa ni Vita ya Madaraka ya Utendaji mkuu kabisa wa serikali na Lowasa alijiona anaonewa WIVU.

UHALISIA......
Kumekuwa na dhana kwa baadhi ya watu kuwa Lowasa ndie suluhisho la MATATIZO ya WATZ na ni mtu mwenye MAAMUZI MAGUMU
KULIKO KIONGOZI YEYOTE!!

DR MWAKYEMBE kakabidhiwa Rungu (UWAZIRI KAMILI) anaonyesha uwezo wake wa utendaji kazi kwa kufanya kile kilichokuwa kinafichwa kwa kuwekwa chini ya fulani.

JE HATUJIONI KUWA SASA NI MUDA MUAFAKA WA KUAMINI NCHI HII INAVIONGOZI WENGI MAHIRI NA WENYE MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA NA madailiko hayaletwi na mtu mmoja tu ni SISI SOTE NDIO TUTAIBADLISHA TZ pia yatupasa tubadilishe ule msimamo MGANDO uliopo na FIKRA zetu zilizopo kwenyekijichupa cha MUCOLYNE kuwa Suluhisho ni huyo jamaa - Lowasa..........!!?

I can not praise you enough. Hii syndrome ya kudhani kwamba huyu jamaa ni muarobaini wa matatizo yetu na mchapakazi pekee ni ujinga. Mwakyembe chapa kazi mkuu, you are proving a lot of people wrong.
 
Kwa lipi ninyi wajinga? 2yrs kama premier 7 yrs later CCM is shouting loud n louder t praise mafanikio....Architect yuko Monduli, CCM tuachieni wanachama tuamue ndio mtajua kwanini ni Lowasa na siyo hao wenye wapambe kila media house. Mnamwita mgonjwa, mnamwita mwizi, mnamwita mroho wa madaraka, mbona hamjiulizi nini ambacho hamjakifanya in his absence but still lamenting shit on his face na bado mwakiona kivuli chake? MAJUNGU YANAJENGA WADAU.
 
Kwa lipi ninyi wajinga? 2yrs kama premier 7 yrs CCM is shouting loud n louder t praise mafanikio....Architect yuko Monduli, CCM tuachieni wanachama tuamue ndio mtajua kwanini ni Lowasa na siyo hao wenye wapambe kila media house

kama ukimpenda mtu kwa ajili ya sura yake , BASI nenda kanywe naye chai - JK NYERERE .
 
kama ukimpenda mtu kwa ajili ya sura yake , BASI nenda kanywe naye chai - JK NYERERE .

Sure, This is time to decide.....kama kigezo ni ukabila au udini au jinsia....mwisho CCM will decide either ways 1. Natural death 2. Progressive way. Halitaamuliwa na wakamua nchi wenye hulka za mamba za kulia ilihali mnatuua invisibly. 2015 or never
 
Back
Top Bottom