Edward Lowassa special thread

Nimeingia kwenye facebook page yao baada ya hizi fununu, naona hakuna updates zozote kwa masaa 19
 
Hii Timu lowasa ilivyokuwa na jeuri ya pesa ilifikia mahali walikuwa tayari hata kubet lowasa wanapita. Ukiwabishia wanakwambia weka eflu1 yeye anaweka milioni1. Nimesha kula milioni20 kutoka kwa al shabab bashe baada ya mm kuweka elfu20 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…