Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Lowassa ni fisadi ama kwa kuchukua au kutokujua akiwa ktk ofisi ya umma alibariki ufisadi wa richmond...asituombe sisi rais ushaidi bali amwombe mwakyembe na awaombe bunge
mr president
upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM
Dah umenishika pabaya! Ila angevumilia tu apite barabara sahihi mie std 7 nilipiga chini kama jamaa Mungu saidia nikapigana Fomu Foo na kufanikiwa kusonga mbele.Asa hapo wakitokea wakamkomalia ujue anafungwa kwa kosa la kughushi ingawaje inakuwa ngumu kwa serikali na uongozi tulionao kama ukiwa swahiba.Mkuu miaka ya nyuma shule za serikali zilikuwa ni chache sana ndio maana mtihani wa darasa la saba walikuwa hawasemi umefaulu bali wanasema umechaguliwa, hivyo basi kulikuwa kuna wanafunzi walikuwa wanapata nafasi ya kuchaguliwa kuendelea hawaendi either kwa matwaka yao au matatizo ya kifamilia, ikitokea mtu hakuchaguliwa na ana uwezo basi anakubaliana na mhusika anachukua nafasi yake kama alivyofanya Kigwangala sasa kuna ubaya gani hapo?
NAMTUMBA ndio anafaa acha kudharau watu ww
KWANINI TUNAMHITAJI JANUARY ?
Zaidi ya 85% ya wafanyakazi na nguvu kazi Tanzania ni vijana walo zaliwa baada ya Uhuru 1961. Nusu ya vijana hawa ni kizazi cha Millenia walo zaliwa miaka ya 1980s na wana umri wa wa chini ya miaka 35.Hawa wengi ni dot.com generation hawa kuwepo nchi ilipopata uhuru na hasa ilipitia hatua gani hadi kufika hapa tulipo fikia. Hawajui yalio tokea wakati wa kujaribu sera mbali mbali kuanzia ubepari , Ujamaa , liberised economy , hawa kuwepo nchi..ilipokuwa na raha au shida mbali mbali .Wengi hawajui zaidi ya kusimuliwa nchi wakati wa Ujamaa ilikua na ladha gani.wengi wamekuwa na matarajio na mafanikio makubwa hasa kama yanayotokea katika nchi za wenzetu.Utanda wazi unawafanya wawe na matumaini ya kufika sehemu ya kutia moyo kiuchumi na mandeleo ya nchi yao. Wengi wanapenda kuona wana ondokana na foleni zisizo isha, wangependa uwepo wa train za kasi kutoka Dar es salaam hadi Mwanza. Wanapenda kuona nchii hii inakuwa nashirika lake la ndege..pia wanapenda waone elimu inayotolewa iwe ni elimu bora inayo mjenga kijana kuweza kujitolea.hakika matarajio yao ni makubwa mno..Lakini itabaki kuwa matarajio ya vijana hawa na mafanikio ya kiuchumi kwa ajili ya kizazi hichi si hasa ya kutia moyo..yana katisha tamaa na vijana wana punguza uzalendo,wanaingia katika biashara hasi na wamekataa tamaa.
CHANGE.
Tanzania inahitaji mabadiliko ya uongozi Inahitaji Kiongozi kijana anaye elewa nini wananchi wa sasa wanahitaji.Tunahitaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo mwenye kuona mbali na kuanzas afari ya kuipeka Tanzania katika maendeleo ya kisasa. Kiongozi atae hakikisha vijana wanapata elimu bora kabisa ambayo itawawezesha wenyewe kujiajiri.Kiongozi mzalendo ataeweka maslahi ya nchi mbele kuliko malsahi ya CorporateEntity za nje ambazo lengo lao ni kuzinyonya nchi hizi.
Tumepita miaka 53 sasa ya uhuru viongozi wengi ni wale wale ambao tumetoka nao tangia uhuru na wengine baada ya uhuru lakini mind zao na uwezo wao bado ni wa60s na 70s hawa tunawashukuru , wamefanya mengi lakini sasa Taifa linahitaji CHANGE, linahitaji kijana mkakamavu, mwerevu , mzalendo, mwenye uwezo wa kutuvusha hapa tulipo na kutupeleka kuleeeeee...kama alivosema Kikwete leo bungeni.
Viongozi wetu kisiasa
Hali ya kisasa Tanzania kwa ujumla bado ni mabaki ya wakoloni bado sisi ni memba waCommon wealth Jumuiya ya watawaliwa wa Uingereza na Mkubwa wetu ni Malkia wa uingereza na akifa ni yoyote katika watoto wa jumba hilo la mfalme.Nchi kama Marekani na Canada Quebec , Zimbabwe na Gambia walijitoa kwani waliona kuwepo katika Jumuia hii ni sawa ya kuwa chini ya ukoloni mambo leo wa Kifalme waUingereza.
Mifumo ilio wekwa na wakoloni , elimu iliyotolewa viongozi walo tayarishwa kuongoza nchi hizi huru walitekwa kimawazo na bado waliendelea kuwa watiifu kwa wakoloni hao. . Wakati wa uhuru,baadhi ya wasomi walijaribu kubadilisha hali hii lakini hawakufanikiwa ama yalitokea mapinduzi ya kijeshi ( nchi nyengine za Kiafrika) au viongozi walijimilikia madaraka na kuweka maslahi yao hivyo wasomi hawa walipata matatizo na watawala. Bado nchi nyingi za kiafrikana Tanzania ikiwamo inategemea sana wale wale walokuwa wakoloni wa mataifa haya baada ya zaidi ya miaka 50 ya kuwa huru.Tatizo hili lipo zaidi Afrika. Nchi zote nyengine nje ya Afrika mfano Malaysia, Indonesia,Thailand,Philipines,Singapore, India, UAE, Oman, zimepiga hatua kubwa za maendeleo kama nchi huru zilizopata uhuru wao miaka sawa na sisi Tanzania.
Wakati Lee Kuan Yew Waziri mkuu wa kwanza Singapore akiibadilisha nchi hio kutoka kisiwa cha wavuvi hadi kuwa moja ya nchi zilizo endelea na viwanda sisi tulibaki wategemezi na moja ya nchi masikini duniani.
Tujiulize kwa nini ? Nchii yetu ina kila kitu
· Watu
· Rasilimali
· Amani
Jee tumekwama wapi ? bila ya shaka tatizo kubwa lipo kwenye
· Elimu duni
· Uongozi wa kikale
· Umimi
· Uzalendo kubaki ni rangi
· Uoni mfupi
Jee nini cha kufanya...
CCM ni chama pekee ambacho kama Taasisi kime jijenga na kinaweza kuamua kuwa sasa Watanzania wanataka Kiongozi Mpya ,Kijana , Msomi mwenye uwezo wa kutuvusha hapa katika lindi la mkwamo wamaendeleo...lakini lazima CCM ifumbe macho katika kuamua, bado masalia ya za kale wapo na wana nguvu za kifedha na support ya watu ambao wana hakikisha status quo inaendelea ili wafaidi keki ya Taifa pekee yao bila ya kujali maendeleo ya Nchi ..
Jee ni nani katika wagombea wa CCM ambaye ndie atakua Lee Kuan Yew wetu ?Bila ya shaka yoyote..ni JANUARY MAKAMBA
Sifa na uwezo anao.Kama kweli tunataka kuondokana na majungu na siasa za 60 na 70 baso January ndio suluhisho.
Lowassa raisi, pm chenge, rostam mshauri wa raisi, karamagi madini, R1 mambo ya ndani, ......

Tuangalie mapokezi ya Lowassa zanzibar na baadhi ya mikutano yake, Utagunduwa makada wenye kusifika kule Zanzibar ndio wapo Begani mwake si kwa mapokezi yake pale zanzibar na kwengineko katika jamhuri ya Mungano ,kwa mfano Borafia anaye sifika toka A-Z kule ZNZ ,Machano mwenye cheti cha Ubaharia ( waziri katika offisi ya Rais ) kuna yule mzee mwengine simuelewe kwa jina, Nilitegemea Ramadhani atapata ushirikiano mkubwa zaidi kutoka Zanzibar kwa kuwa ndio kwao lakini hali halisi haioneshi hivyo .