Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

safari ya matumaini imeisha dodoma ....
 

Attachments

  • 1436571186198.jpg
    1436571186198.jpg
    50.5 KB · Views: 531
Pasco sema neno moja tu na roho yangu itapona.

Na nikweli Pasco tuambie huyu the one and only wako atahamia mtaa gani??? Teh teh teh km namuona vile Lowassaaaa hadi minywele yake kama chaki leo itakuwa mizito kama roba la kokoto!!!?
Sijui leo atakunywa pombe gani maskini na alivyo mleviii
 
Last edited by a moderator:
Masiki vijimbwa vyake vilivyokuwa vinabweka bweka na kung'aka hapa vyoote vimerudisha mikia kwenye makalio huku vikijilamba lamba midomo kwa kupokonywa ulaji!!!
Kesho vitahamia chaka jingine... vindorooobo vimetumwa helaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom