Edward Lowassa special thread

Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!
 
Ha Haaa hakatwi mtu hapa.
 
Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!

Kwani maccm wao wanataka utaratibu ufwatwe au kushinda hata kwa bao la mkono!
 
Sasa mkuu wa wilaya ana uhusiano gani na wanachama wa chama na wanachofanya? Uzi wakishabiki huu
 
***ni washamini laki moja na ishirini na ushee! sorry for that audiancy!***
 
Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!
We ni sawa na nyau wengine woote waliopata zaidi ya 450 huwaoni.punguani wewe
 
acha ushabiki maandazi....kati ya wagombea nani kapeleka wadhamini 450??? kila mmoja kazidisha
 
Ameambiwa mikoa 15 lakini yeye anaenda mikoa 20 sasa je hiyo ni bahati mbaya, huyu aliyeshindwa kuheshimu sheria za chama chake hatawezaje SHERIA za nchi akishaingia ikulu
 
Kwani maccm wao wanataka utaratibu ufwatwe au kushinda hata kwa bao la mkono!
We ni sawa na nyau wengine woote waliopata zaidi ya 450 huwaoni.punguani wewe
acha ushabiki maandazi....kati ya wagombea nani kapeleka wadhamini 450??? kila mmoja kazidisha
Mpango wa kumkata jina nasikia usha wiva, na ushahidi ndo hiyo kampeni anayofanya badala ya kutafuta wadhamini.
Msisahau alikuwa wa kwanza kutangaza pale Arusha, waliotangaza juzi kama kina Magufuli wamemaliza na wako tulii!

Samaki Lowassa atakaangwa kwa mafuta yake mwenyewe!
 
Watu walivyopigika na hii shilingi inavyoporomoka, wanafuata hela hawafuati mtu.
Ukweli juu ya lowasa utatuweka HURU!
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo. Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.
ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....
 
Kwa maneno yako mwenyewe Laki 20 ni sawa na mil.2. Dar Ina watu 4.5m kwahio almost nusu ya wakazi wa Dar ni wanachama wa ccm?
 
Hizi tuhuma kali sana...#unfiltered
 
WATU KUPIGIKA NA SHS KUPOROMOKA NI MATUNDA YA RAIS GANI?
***BY NATURE WAMASAI SIO WAONGEAJI SANA BALI KAZI NDIO ZAIDI,ACHANA NA HAWA WAMASAI WA MOROGORO WALIOJAA DAR!***
/ii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…