Katuibia weeeeeeeeeee..........., eti leo anarudi anajidai oho, nawatoa kwnye umaskini, oho nauchukia umaskini, oho nitaifanya Tz pepo ...hivi yeye anauchukia umaskini kuliko nani ama kaambiwa umaskini ni sifa ? kama ana pesa nyingi kwanini asitulie akafurahiaa pesa zake? umaskini wetu si wa pesa, anatakiwa aelewe kwsmba sie watz hatuna umaskini wa pesa, bali tuna umaskini wa kupata viongozi wabovu na wenye tamaa kama yeye na ndo maana tunatafuta viongozi wa kutufanya wa kutuongoza na si wa kutupa pesa, kama ni pesa nchi yetu inavyo vitu vingi sana vya kutufanya matajiri na si pesa ya mwizi.