Edward Lowassa special thread

Historia haijengwi na jambo moja tu fahamu hilo.
 
Hata ukiamua kusahau mambo ya Richmond bado utajiuliza nchi kama hii,mtu hafanyi biashara anapata wapi ma million kama si mabillion haya?
 
Sizitaki mbichi hizi....ukienda bar na pesa ya bia nne tu ukapigwa ofa ya mbili za ziada utazikataa? Mbona tunakuwa na wivu wa kipuuzi...kama huna nyota ya kupendwa kubali hali...
 
By the way, kuna anayefahamu Arusha ('mujini') kuna wakazi wangapi?


Population ya Mkoa wa Arusha mzima ni kama 2 Milioni hv...roughly...!!!

Arusha town wako kama 1 Milioni.. ila idadi ya waliojiandikisha miaka ya nyuma wapiga kura wako kama laki 200,000 hv kwa pale mjini...so EL kakomba 120,338... hii ni gharikaaaa... CCM very superby...!!! hahaaaa raha rahani, unyama unyamani...CCM..👍👍👍
 

Sio kuvuruga ibada. Ukiwa karibu na waridi nawe utanukia waridi.Karibu na kanisa na msikiti kuna baraka na thawabu zake.
 
By the way, kuna anayefahamu Arusha ('mujini') kuna wakazi wangapi?


Population ya Mkoa wa Arusha mzima ni kama 2 Milioni hv...roughly...!!!

Arusha town wako kama 1 Milioni.. ila idadi ya waliojiandikisha miaka ya nyuma wapiga kura wako kama laki 200,000 hv kwa pale mjini...so EL kakomba 120,338... hii ni gharikaaaa... CCM very superby...!!! hahaaaa raha rahani, unyama unyamani...CCM..👍👍👍
 
lowasa anafanya kazi ya kununua watu ili waonekane wanampenda.
kuna ndugu yangu yuko mbeya yeye alikosa kosa 50 kwani alikuwa hana kadi ya ccm.
hilo liko wazi sema wanabisha kwa kuona aibu.
yaani ni sawa na mtu anayeku.nya mavi aafu anaficha uvungu wa kitanda na kubisha kuwa hajanya
 
CCM kama wangekuwa moyoni mwangu wangemkata huyu fisadi lowassa mapema ili kama ni kufa afe au kama kuhama tuone chama kitakaxhokuwa tayari kumsafisha.
 
Hili mbona liko wazi. Lakini nadhani mwisho wake unakaribiia.
 
Nikisema, CCM ina makomando, eg Lowassa watu hawaelewi... sasa mnaona sasa... matokeo ya wadhamini ndio jibu sahihi la nani anakubakika sana na wananchi... CDM Arusha mjini kwisha habari yake....mtaja niambia..!!!
 
Nasika ccm inamtegemea yeye bila yey ccm inakufa inawezekana lowassa ndie mwenye ccm au ccm nitasisi
 

Kwani magoli ya mkono yanaasisiwa na chama gani?
 
Lowassa na wapambe wake wamekuwa wakitangaza kupata idadi kubwa ya wadhamini katika mikoa mbalimbali kwa kuamini kwamba watanzania ni mbumbumbu na hawawezi kufanya uhakiki wa idadi ya wanachama kwenye mikoa husika. Leo hii imetangazwa kuwa eti Lowassa kapata wadhamini 129,322 katika wilaya zote saba za Arusha. Wanachama hao amewatoa wapi wakati inafahamika kuwa wanachama wote wa CCM mkoa wa Arusha hawazidi 50,000. Bila shaka Mangula na wenzake watabaini utapeli huu unaofanywa na Lowassa na timu yake kwa lengo la kuwatisha CCM ili wamuone anakubalika zaidi na wanaCCM.
 
Jamani tusidanganyane, wagombea wote wa ccm wanatoa pesa/rushwa kwa wadhamini. Majuzi wasira alikuwa huku kaliua-tabora, kila aliyemdhamini aliondoka na buku kumi. Wenye kadi za ccm sasa ni muda wa mavuno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…