Edward Lowassa special thread

Lowassa anatumia njia ambayo sihalali niliona juzi kuna wanaccm wanasainishwa na bilakujuwa
 


Ur out of point kabisa...sorry...soma hapa..!!
 

Wewe dada Mbona mmbeya sana
 
atapa-atapata



Wee lazima wanaume wa CCM tukupige nyuma mbele, naona CDM wamekulea vibaya, sasa tutakupiga mtungo wa uhakika... andaa ky..!!! CCM ndio jogoo, wengine mitetea, tunapanda tu..!!! Naona uko ktk heat, sasa hv ntakugeuza nyama..!!
 
kama Arusha kuna wana magamba wengi hivo mbona jimbo lipo CHADEMA??

Nahisi hujui nguvu ya Edo subiri apitishwe ndio utaiskia ukawa. Maana kuna member hadi huku kwa mGT was ukawa wamuunga mkono
 
Mkuu Jidu La Mabambasi inategemea na umbali usitake kumsingizia Laigwanan dhambi ya upendeleo.Kutoka KIA hadi Arusha ni kama 45 km.
Tatizo hapo mkuu ni kwa nini Laigwanan aliwaingiza mjini watu aliowaahidi.
Pili huyu mtu analaumiwa sana kwa NEPOTISM?

Humu mtandaoni kuna thread inayolalamika kuwa Laigwanana alipokuwa Waziri Mkuu alihamisha fedha za Miradi toka Mbeya kwenda kwao Arusha.
Hana sifa mzuri za kitaifa huyu jamaa.
 

kwani uongo hakubaliki???
ukisikia kesho anakuja kwako lazima uchinje kuku na uje ujitangaze humu
 

Na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae ni Mmeru mwaka 2011 aliniambia Lowasa ni Mmeru kabisa na anachapa Kimeru sawasawa.
 
Kwa wadhamini hao mbona Lema angepigwa chini asubuhi mapema.
 
sasa hasira za nini si msubiri huyo July 12 kwani mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…