Huyu fisadi anatakiwa asafishwe kwa kutumia sabuni inayoitwa MakongoroMkakati wa hawa watu kuitishia kamati ya maadili kupitia mitandao ya kijamii ni ya kitoto na kijinga.
Hoja Kwamba Lowassa akikatwa mara chama kitakufa, maana ana wafuasi wengi sana. Mara akikatwa ataenda ACT. Basi mnaambiwa mtakatwa. Anzeni safari yenu ya matumaini na ACT
Lowassa hana wafuasi wengi. Ana wasaka fedha na wasaka tonge. Na hata Huko ACT tutajua mbivu na mbichi. Ila mtambue kwamba, CCM itakuwa tu ikiachwa mikononi mwa mafisadi
Hacheni huu utoto wa intimidation kwenye mitandao, mnamuharibia Lowassa wenu. Fisadi hasafishiki hata kwa dodoki na jiki. Pengine atumie Mkorogo atatakata
Tena Makongoro anajitahidi kweli kuwasafisha Watanzania dhidi ya propaganda kuwa Lowasa anafaa. Lowasa hafai hata kwa chembeHuyu fisadi anatakiwa asafishwe kwa kutumia sabuni inayoitwa Makongoro
Lowasa hana wafuasi NEC na Kamati Kuu. Bali kuna watu wanaokula fedha zake ambao mwisho wa siku wanakuja kumgeukahaa haa mkuu vipi mtawakata na wale wafuasi wake waliojazana NEC na kamati kuu? maana huko wale wjumbe wa NEC na mkutano mkuu hawapumui mbele ya lowasa..
Duh! Mkuu, ugambani ndo wapi?Ugambani kumekucha.
Mkakati wa hawa watu kuitishia kamati ya maadili kupitia mitandao ya kijamii ni ya kitoto na kijinga.
Hoja Kwamba Lowassa akikatwa mara chama kitakufa, maana ana wafuasi wengi sana. Mara akikatwa ataenda ACT. Basi mnaambiwa mtakatwa. Anzeni safari yenu ya matumaini na ACT
Lowassa hana wafuasi wengi. Ana wasaka fedha na wasaka tonge. Na hata Huko ACT tutajua mbivu na mbichi. Ila mtambue kwamba, CCM itukufa vibaya ikiachwa mikononi mwa mafisadi na wahuni kama Lowassa na Genge la Mafisadi papa
Hacheni huu utoto wa intimidation kwenye mitandao, mnamuharibia Lowassa wenu. Fisadi hasafishiki hata kwa dodoki na jiki. Pengine atumie Mkorogo atatakata
Duh! Mkuu, ugambani ndo wapi?
haa haa mkuu vipi mtawakata na wale wafuasi wake waliojazana NEC na kamati kuu? maana huko wale wjumbe wa NEC na mkutano mkuu hawapumui mbele ya lowasa..
Umenena vema Mkuu. CCM bila ya mafisadi inawezekana
Kweli mkuu, NAWAKUBALI KWA SIASA ZA FITINA....toka enzi ya salim....Nimeona ile picha iliyotengenezwa ya yule mgombea anayetaka kudili na vibaka wa CCM.
Afu naona mnavyofitini itv kujitahid kurusha habari zenu kwa sana...
Nawakubali kwa fitna...
Fisadi
Ni waziri mkuu mstaafu mh. E. Lowassa ametua Songea muda huu akitumia usafiri wa chopa. Mapema tangu asubuhi mamia ya wanaccm walikuwa wakimiminika ktk office za ccm zilizopo S. Mjini kumsubiri rais huyo mtarajiwa. Mji wa Songea umekumbwa na shamrashamra za ghafla kwa ajili ya mapokezi ya Lowassa. Kweli Lowassa ni shidaaaaa. stay tuned
Leo ni zamu ya watu wa songea kuvuna mapesa ya fisadi mkuu.
Fisadi